Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media
Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki.
Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano. #NguvuMoja
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC.
Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu...
"Yanga SC haihusiki kabisa na Kupima COVID-19 Wachezaji wa Timu ngeni na waulizwe Serikali ya Tanzania. Na kuhusu hao Mashabiki kuingia waulizwe TFF na Watu wa Wizara na siyo Sisi Yanga SC" Haji Manara Msemaji wa Yanga SC.
"Haji Manara na Yanga SC yake wasitake Kutupa lawama kwa Watu wengine...
Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.
Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na...
Msemaji wa serikali alitangaza akiwa Singida kuwa tar 22 mwezi huu september wastaafu tayari wamelipwa stahiki zao za Mafao. Leo hii tupo wastaafu 15 kutoka secta mbali mbali tulio staafu mapema mwaka jana mwezi wa 12, 2020, leo tarehe 30 septemba tumeenda Benki saa 2.27 usiku na kubaini hamna...
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni.
Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea...
Yaani hawa jamaa bana wakishinda atatoka msukule na Injinia kuji mwambafai wakitia aibu kama ile ya kule Naija basi ni Bumbuli na Hajj mfikirwa
Naona week hii kuna mtu kajificha nyuma ya keyboard anasubiri miujiza jumamosi ili aibuke mafichoni kilichobaki huko ni kutangaza decorders za azam...
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC
HITIMISHO
1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina 😀😀
2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game...
Inaelezwa kuwa Ushabiki Wa hizi Klabu kubwa nchini ni Kama ngozi au Kabila la Mtu.Huwezi kubadili Kabila lako au asili Ya Ngozi Ya Mwili. Sasa Msemaji wetu inaelezwa Wakati Timu Ya Zanaco inaiadhibu timu Yake alionekana 'eti akicheka ndani ya Barakoa.
Pia Matukio Yanayoendelea kuitokea timu...
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)
Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara...
Mhe shimiwa Rais alisimama mwezi baada ya kuapishwa na kuahidi kuwa Serikali yake itaanza kuwalipa wastaafu wa PSSF kila mwezi ili kupunguza uwingi wa wastaafu hao na hii ndio dhamira yake, leo Msemaji wa Serikali akitoa taarifa na ufafanuzi kuhusu maswala mbali mbali Msigwa kaja na mpya anasema...
"Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za Klabu Bingwa Afrika tutangaza"
Chanzo: Sports Extra Clouds FM
Ndugu yangu ( yetu ) Hassan Bumbuli...
Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga.
Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke...
Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la Kisaikolojia la Kwanza kwa Yanga SC.
Muda si mrefu Msemaji huyo wa Wapinzani wa Yanga SC wanaorudiana nao...
YALIYOJIRI WAKATI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI – MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKITOA TAARIFA YA WIKI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA UTENDAJI WA SERIKALI LEO SEPTEMBA 12, 2021 DODOMA.
# Kuna baadhi ya maeneo yamepata changamoto ya kukatika kwa umeme, ni kwa sababu ya kazi...
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili asubuhi hii.
1. Taarifa ya wiki kutoka Serikalini
2. Majibu ya maswali yenu
3. Maoni na ushauri...
Kuanzia saa 2 asubuhi hii ya leo Ijumaa Septemba 10, 2021, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atazungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha UTV pale Azam Tv. Usikose kufuatilia.
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021.
1. BEI YA MAFUTA.
Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.