Msikilize Easy E -Ezekiel Kamwaga akiongea kwa staha, weledi na umakini mkubwa. Anaongea kama msomi na mtu mwenye exposure. Hakuna porojo, povu wala mapovu.
Anaeleza issues na vipengele kwa kina katika mipaka yake ya usemaji. Hata kwenye page yake ya Insta mashabiki tunapata facts zilizonyoshwa...