Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta maana yake. Inasemwa kuwa msemo huu ulianza kutumika wakati wa utawala wa Ujerumani. Wajerumani...
Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya kila siku.
Miongoni mwa misemo maarufu inayotumiwa na mashabiki, wachambuzi wa soka, wataalamu, na...
Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana...
Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake.
Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu
Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena
Mnajazana UGALATIA sana...
Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.
Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo" Kama huna D mbili huwezi kuelewa"
Vitoto vya sekondari watadhani D...
Salaam, shalom!!
Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali"
Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
Msemo huu ulitolewa na Shirley Chisholm (Mwanamke wa Kwanza Mwafrika-Amerika katika Bunge la Marekani):
– Huu ni ujumbe kwa wanawake kwamba wanapaswa kutengeneza fursa pale ambapo hazipo.
Wanawake wanahitaji kuwa na ujasiri wa kusimama na kuunda nafasi zao, hata kama wanakutana na vizuizi au...
Salaam; Wana jukwaa
Wataalamu wa kiswahili, Katika harakati za kutafuta maisha, wahenga kwanini walitunga huu msemo na nini haswa maana yake ?
Nawasilisha
Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli.
Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...
Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio.
Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni.
Komando madafu
Miso Misondo
Konki master
Lizer wa Tanzanite
Mandonga mtu kazi
Liquid piere
Aslay na Binti kungwi
Mwanachuo na Mirinda
Bashite na...
Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume.
Hakika karma is bitch
Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu.
Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi.
Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi...
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,
"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"
Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.
Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA...
SWIM WITH THE TIDES Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba "ogelea na mawimbi" au "yatumie mawimbi". Na ukifanya hivi utafanikiwa sana sana.
Labda tutazame mifano michache shall we ?!
MFANO 1. Wewe ni branch manager wa bank moja yenye ubia na serikali. Katika tawi lako lililo mkoa wa nyanda za juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.