Wakuu salaam......
Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz....
Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na uzuri ni basi inatosha 😆
Wengi walilinganisha uzuri wa big nyanshiiiii.....fire waist 😜😜😜
Vice verse...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +.
Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache utamatike.
Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka.
Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote?
~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
Maisha yanapoandamwa na shida za saikolojia ni shida. Misemo kama hii huweza kuibuka.
Kwa sasa nautumia
Mtaani kwangu naona nanuniwa. Nimeamua kudeal na kaz zangu tu.
Kazini kwangu kuna maneno kupitia vyanzo si rasmi naona kuna maneno maneno juu yangu.
Nimeamua kustick na Mungu na kazi...
Wakuu...
Habari ya jumamosi tulivu hapo ulipo??
Umeshapata chai????
Sasa sikiliza nikuambie,
Najua ulishapita shule, iwe chekechea, vidudu, msingi, sekondari hata chuoni.
Kama utakua unakumbuka vizuri, tulikua na:
1. Majina ya utani ambayo iwe mwalimu au mwanafunzi kutaniwa
2. Misemo ya...
kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu).
Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
PENYE UZIA PENYEZA RUPIA: JINSI MSEMO WA KISWAHILI UNAVYOATHIRI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA JAMII
Imeandikwa na: MwlRCT
1. UTANGULIZI
Msemo wa "Penye uzia penyeza rupia" unatokana na neno la Kihindi "rupia" linalomaanisha sarafu ya fedha. Msemo huu ulianza kutumika katika jamii...
yaani asikudanganye mtu eti kutoa ni moyo, hapana, narudia tena hapana, kutoa ni kujilazimisha bila kujilazimisha huwezi kutoa,
Mimi nilikuwa na rafiki yangu alikuja akiwa na shida ya simu yake mbovu lakini kwa kipindi kile ilikuwa ni masika kwahiyo isingewezekana yeye kupata simu kwa wakati...
Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu.
Kwa mara ya kwanza na ya mwisho, tunawashauri CCM, waache kuimba huu wimbo unaozidi kuuwa uchumi wetu na wao kuufanya...
Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi
kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa kidogo za kujikimu kwenye mahitaji ya Kila siku mfano bando, nauli, chakula nk....so tunaishi 👊👊
Kwa...
Wanabodi,
Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977.
Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...
Habari,
Binafsi nikiri kuwa sijawahi kuvuka mpaka wa Tanzania ila nina exposure ya kutosha kuliko hata wauza unga waliozamia Afrika ya kusini.
O level nimefundishwa mathematics na walimu 3 Wakimarekani, nimefanya kazi na Wazungu kwenye kampuni 2 tofauti.
Kwahiyo Wazungu niliokutana nao wote...
Kila siku utasikia hakuna ajira na watu wajiajiri, sasa wajiajiri ili wamuuzie nani na nini? Tanzania ni nchi masikini tena sana sasa kila mtu akijiari hiyo biashara nani atanunua na kwa kipato gani?
Kwangu mimi Mwanasiasa anayewaambia watu wajiajiri wakati per capital income ya Tanzania ni...
Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja.
Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
Mwanamke Jobless na mwenye harakati zake thamani Yao kwa Ground hazifanani.
So uwa nachekaga hawa KE wanavyojiwekaga Nyuma katika mapambano .
Demu mwenye Maisha mazuri hata Kama ana sura mbaya wanaume lazima wamuwinde .
So Demu mwenye mkwanja usitegemee thamani yake ikafanana na mtu ambaye...
Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi.
Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo zinatembea , daah kuuliza sio ujinga , ulianzaje na maana yake nn .... Kwa mwenye uelewa anitoe tongo tongo
Yaani Kwa namna Mamkala ( Watu ) NHC wanavyoendelea na Maandalizi ya Ujenzi wa Nyumba hapo ni dhahiri shahiri kuwa pataleta Usumbufu mkubwa wa Kiujenzi hapo Kanisani Kwako na hata kwa Waumini wako.
Mtume wao Mwamposa hivi pamoja na Wewe Kubobea hasa katika Saikolojia umeshindwa tu Kung'amua (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.