Msemo.....
"Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu"
Wimbo.....
"Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...."
Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
Raisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua"
Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa...
Hali ilivyo:-
1.Watanzania waishio nje.
Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa.
Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
Ilikuwa mwaka jana!
Baada ya kuona mazoea yamezidi, mara anione aniite ite, anikumbatie mbele ya watu, vizawadi zawadi vya hapa na pale, nikajua hii papuchi naichakata soon! Nilivyompanga akakataa, nikamuuliza sababu, siku ya kwanza kasema Dini hairuhusu (binti wa kilokole), siku iliyofuata...
Pole na kazi Mh. Waziri na pole kwa majukumu yako mengi kweli ya kila siku.
Mh. Ofisi yako Dar es Salaam nipende kutoa masikitiko yangu kwako pamoja na jitihada zote uzifanyazo wapo baadhi ya watumishi wako hapo wizarani ambao wanafanya mambo ya hovyo kweli infact fedha ndio imekuwa...
Habari wakuu!
Siku hz unakuta wanasema haki sawa ktk njanja zote. Sasa ktk familia unakuta mwanaume ana kazi isiyo ya kudumu yan tenda na mke amebahatika kupata kakazi ka maana lakn utakuta mwanamke anaomba hela ya matumizi kwa mumewe wakat anajua kwamba hana hela sometimes na akinyimwa lawama...
Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa...
Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha.
“amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI".
Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu)
Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
Hadi dakika za mwisho za kujiuzulu kwa Ndugai wana CCM wengi hawakujua wawe upande upi wa Spika au wa Rais. Ndio maana hadi sasa wabunge wengi wa CCM bado wapo kimya. Kwa upande wa upinzani hasa Chadema wao walichokuwa wanafanya ni kuchochea kuni, kuna waliokuwa wanampaka mafuta Ndugai kwa...
Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba.
Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wote waliopo huitikia kwa nguvu kazi iendeleee. Nimekaa na kuutafakari huu msemo nimeona kama ni wa kisiasa zaidi.
Unakwepa kuwa na commitment kwenye maisha ya Watanzania milioni 60, ni kama vile ikifika wakati wa Rais kuulizwa kafanya...
Wanaume wenye changamoto katika mahusiano ni miongoni mwa evidence zinazoupa nguvu msemo huu wa wanawake hawapendani. Ili mwanaume utofautiane na mwanamke lazima mfanane tabia, wote mmiliki tabia za kike au kiume. Like poles hupishana.
Mara nyingi katika mahusiano mwanaume huambukizwa tabia za...
THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate)
Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu...
Tumesikia au tunawasikia sana viongozi wetu wakijinasibu kwa Uafrika, aidha utawasikia wakisema sisi Waafrika, yaani wanaona shida kubwa sana kusema sisi Watanzania au kwa Utanzania wetu bora hata Wa upande wa pili utawasikia wakisema sisi WaZanzibari au Uzanzibari wetu.
Viongozi hivi...
Aisee binafsi nakerwa sana na msemo Nyani haoni kundule
Sababu: hilo neno kundule naona kama nimetukanwa vile [emoji2]
Wewe ni msemo gani wa kiswahili una kukera? Na kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.