msemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trivia: Asili ya msemo "Shamba la Bibi."

    Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta maana yake. Inasemwa kuwa msemo huu ulianza kutumika wakati wa utawala wa Ujerumani. Wajerumani...
  2. Asili ya Msemo "Underdog"

    Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya kila siku. Miongoni mwa misemo maarufu inayotumiwa na mashabiki, wachambuzi wa soka, wataalamu, na...
  3. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyu

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  4. Wanasayansi huu msemo umekaaje?

    Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana...
  5. Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  6. Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  7. "Kama huna D mbili huwezi kuelewa" ni msemo unaowapa amani vilaza, tuukemee utaendelea kuzalisha wajinga wengi

    Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu. Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo" Kama huna D mbili huwezi kuelewa" Vitoto vya sekondari watadhani D...
  8. R

    LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  9. Hivi huwa mnautumia msemo wa “If they don’t give you a seat at the table, bring a folding chair”?

    Msemo huu ulitolewa na Shirley Chisholm (Mwanamke wa Kwanza Mwafrika-Amerika katika Bunge la Marekani): – Huu ni ujumbe kwa wanawake kwamba wanapaswa kutengeneza fursa pale ambapo hazipo. Wanawake wanahitaji kuwa na ujasiri wa kusimama na kuunda nafasi zao, hata kama wanakutana na vizuizi au...
  10. Eti, nini maana ya msemo, Mgaa gaa na Upwa hali wali mkavu?

    Salaam; Wana jukwaa Wataalamu wa kiswahili, Katika harakati za kutafuta maisha, wahenga kwanini walitunga huu msemo na nini haswa maana yake ? Nawasilisha
  11. Nini maana ya msemo "hujafa hujaumbika"

    Huu msemo wa Waswahili "hujafa hujaumbika" huwa una maana gani?
  12. Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba.

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  13. N

    Andika kauli au msemo mmoja unaoukumbuka kutoka kwa hayati Magufuli

    Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli. Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...
  14. Tabiri, ni tukio gani au msemo gani utatrend au ni nani atatrend hivi karibuni

    Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio. Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni. Komando madafu Miso Misondo Konki master Lizer wa Tanzanite Mandonga mtu kazi Liquid piere Aslay na Binti kungwi Mwanachuo na Mirinda Bashite na...
  15. Huu msemo mliokuwa mnawaambia wanaume watafute hela sasa mtatafuta nyie

    Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
  16. Kwa hiki kipindi kifupi kuelekea 2025 uchaguzi naona tengua tengua ni kama msemo kukumbuka shuka asubuhui

    Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu. Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi. Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi...
  17. Msemo wa "D mbili" una maana gani?

    Watu wanaposema "kama huna D mbili" utanielewa huwa wana maana gani? Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
  18. Ni Afrika pekee ndio Wana msemo wa kipuuzi kama huu kwenye mahusiano

    Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao, "WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA" Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja. Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA...
  19. Swim with the tides

    SWIM WITH THE TIDES Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba "ogelea na mawimbi" au "yatumie mawimbi". Na ukifanya hivi utafanikiwa sana sana. Labda tutazame mifano michache shall we ?! MFANO 1. Wewe ni branch manager wa bank moja yenye ubia na serikali. Katika tawi lako lililo mkoa wa nyanda za juu...
  20. Ule msemo wa kushikiria shilingi bunge mnausikia siku hizi?

    Mabunge ya bajeti yalikuwa bamba msemo wa nashikiria shilingi mpaka waziri akome ..Je sasa vipi mambo yanaenda swafi ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…