msemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ule msemo wa "akili atatumia zangu" bado unafanya kazi??

    Wakuu salaam...... Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz.... Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na uzuri ni basi inatosha ๐Ÿ˜† Wengi walilinganisha uzuri wa big nyanshiiiii.....fire waist ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ Vice verse...
  2. Tafuta hela ni msemo usioendana na wanaoutumia

    Wengi wanaopenda kusema hii kauli ya TAFUTA HELA ni mafukara wazuri tu na ndio maana kuna muda naiona miyeyusho.
  3. Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    "SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +. Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
  4. Ni Msemo gani Umebamba Sana Mitaani Mwaka Huu 2023

    Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache utamatike.
  5. Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka. Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote? ~ "Mama anaupiga mwingi"๐Ÿฅฒ
  6. Huu msemo ni mzuri sana ingawa ni kama wa kihuni

    Maisha yanapoandamwa na shida za saikolojia ni shida. Misemo kama hii huweza kuibuka. Kwa sasa nautumia Mtaani kwangu naona nanuniwa. Nimeamua kudeal na kaz zangu tu. Kazini kwangu kuna maneno kupitia vyanzo si rasmi naona kuna maneno maneno juu yangu. Nimeamua kustick na Mungu na kazi...
  7. Akina dada, huu msemo huwa una maana gani? ....."we tu endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"

    Karibu kila siku 'mywangu' tukiwa kitandani unilalamikia ....."we tu, endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"
  8. Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Wakuu... Habari ya jumamosi tulivu hapo ulipo?? Umeshapata chai???? Sasa sikiliza nikuambie, Najua ulishapita shule, iwe chekechea, vidudu, msingi, sekondari hata chuoni. Kama utakua unakumbuka vizuri, tulikua na: 1. Majina ya utani ambayo iwe mwalimu au mwanafunzi kutaniwa 2. Misemo ya...
  9. Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  10. SoC03 Penye Uzia Penyeza Rupia: Jinsi Msemo wa Kiswahili Unavyoathiri Uwajibikaji na Utawala Bora katika Jamii

    PENYE UZIA PENYEZA RUPIA: JINSI MSEMO WA KISWAHILI UNAVYOATHIRI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA JAMII Imeandikwa na: MwlRCT 1. UTANGULIZI Msemo wa "Penye uzia penyeza rupia" unatokana na neno la Kihindi "rupia" linalomaanisha sarafu ya fedha. Msemo huu ulianza kutumika katika jamii...
  11. usiuamini msemo: wa kutoa ni moyo maana ndo utawapeleka watu wengi motoni,

    yaani asikudanganye mtu eti kutoa ni moyo, hapana, narudia tena hapana, kutoa ni kujilazimisha bila kujilazimisha huwezi kutoa, Mimi nilikuwa na rafiki yangu alikuja akiwa na shida ya simu yake mbovu lakini kwa kipindi kile ilikuwa ni masika kwahiyo isingewezekana yeye kupata simu kwa wakati...
  12. T

    Mama anaupiga mwingi maana yake nini? Ni ili CCM muibe kiulaini?

    Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu. Kwa mara ya kwanza na ya mwisho, tunawashauri CCM, waache kuimba huu wimbo unaozidi kuuwa uchumi wetu na wao kuufanya...
  13. "Vijana nendeni mkalime acheni kubeti" huu msemo nitakuja kumvunja mtu shingo

    Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa kidogo za kujikimu kwenye mahitaji ya Kila siku mfano bando, nauli, chakula nk....so tunaishi ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š Kwa...
  14. Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?

    Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...
  15. "Soma kwa bidii ili ufanikiwe" msemo unaopatikana katika nchi maskini pekee

    Habari, Binafsi nikiri kuwa sijawahi kuvuka mpaka wa Tanzania ila nina exposure ya kutosha kuliko hata wauza unga waliozamia Afrika ya kusini. O level nimefundishwa mathematics na walimu 3 Wakimarekani, nimefanya kazi na Wazungu kwenye kampuni 2 tofauti. Kwahiyo Wazungu niliokutana nao wote...
  16. Msemo โ€œkujiajiriโ€œ kutoka kwa Wanasiasa ni Ushahidi tosha out of touch na Low IQ!

    Kila siku utasikia hakuna ajira na watu wajiajiri, sasa wajiajiri ili wamuuzie nani na nini? Tanzania ni nchi masikini tena sana sasa kila mtu akijiari hiyo biashara nani atanunua na kwa kipato gani? Kwangu mimi Mwanasiasa anayewaambia watu wajiajiri wakati per capital income ya Tanzania ni...
  17. Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

    Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja. Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia โ€˜jekiโ€™, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
  18. Huu msemo wa Tafuta Hela . Unawahusu KE, na ME

    Mwanamke Jobless na mwenye harakati zake thamani Yao kwa Ground hazifanani. So uwa nachekaga hawa KE wanavyojiwekaga Nyuma katika mapambano . Demu mwenye Maisha mazuri hata Kama ana sura mbaya wanaume lazima wamuwinde . So Demu mwenye mkwanja usitegemee thamani yake ikafanana na mtu ambaye...
  19. Nimechelewa mjini , Huu msemo wa "AFTATU" unamaanisha nini?

    Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi. Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo zinatembea , daah kuuliza sio ujinga , ulianzaje na maana yake nn .... Kwa mwenye uelewa anitoe tongo tongo
  20. Mtume wao Mwamposa hivi Wewe huu Msemo wa 'Akufukuzae Hakuambii Toka' huujui au Jeuri tu?

    Yaani Kwa namna Mamkala ( Watu ) NHC wanavyoendelea na Maandalizi ya Ujenzi wa Nyumba hapo ni dhahiri shahiri kuwa pataleta Usumbufu mkubwa wa Kiujenzi hapo Kanisani Kwako na hata kwa Waumini wako. Mtume wao Mwamposa hivi pamoja na Wewe Kubobea hasa katika Saikolojia umeshindwa tu Kung'amua (...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ