Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako
Mshahara ikawa ni madawa ya kulevya
Uliingia kwenye ajira ukiwa na miaka 26+ apo una diploma labda uliingia na ndoto zako maraa...
Mshahara ni baada ya makato
Je ni mkoa gani mzuri unaoweza kubalance vizuri Gharama za maisha, huduma za kijamii, usalama na utulivu wa familia
ARUSHA - ❌❌ Huu mkoa unakoelekea hata sijui, kuna matatizo ya usalama, pia kimaadili sio mkoa mzuri kwa malezi ya watoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.