Ajira ni utumwa, mshahara wa kila mwezi ni adui mkubwa wa ndoto za wengi

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako

Mshahara ikawa ni madawa ya kulevya

Uliingia kwenye ajira ukiwa na miaka 26+ apo una diploma labda uliingia na ndoto zako maraa papa yanakuja mawazo ya kuongeza elimu apo +3/4 years unarudi na documents unaongezwa mshahara na cheo kinapanda tayari apo una 30+ years

Unaongezewa majukumu na vyeo vya kukufanya ubweteke kusaka fursa nyingine

Mara paaap una 40+ years unaanza kufikiria mikopo unakopa apo ndio kwiiiiisha lala salama itamiliki IST,PASO NA KLUGER ya mkopo

Mara paaap unaanza kujaribu biashara mara paaap inakufa sababu huna uzoefu ila pesa ipo sababu uliaminishwa biashara ni mtaji

Mara paap unaanza kua chawa

Mara paaaap uchawa na michongo haramu

Mara paap uchawa unakushinda mara paap 55+ years

Mara paap unakua msoma magaazeti🤣🤣🤣

Mara paaap una staafu

Mara paap unakufa🤣🤣🤣🤣

Ukiajiriwa jitahidi baadhi ya Sheria uzivunje ili utoboe acha uoga wa kiboya kitambi hakikai na mjinga amkaaaa
 
Wewe uko kundi lipi?

Ajira, unavunja sheria?
Umejiajiri??
 
Ukweli mchungu ni kwamba kama huwezi pangilia mshahara uliopo fixed hutoweza pangilia faida/hasara kwenye biashara.
 
IMG-20250707-WA0182.jpg
 
Mbona huo mzunguko ni kama wa kila mtu, embu jaribu kufuta hapo kwenye ajira weka BIASHARA… Kwa mfano unaanza BIASHARA una miaka 26 inademadema mpaka unafika miaka 30 unaanza kuona faida unaamua kujitanua zaidi kibiasha unafungua kampuni au unaongeza matawi, unaanza kushika mil500 yako ya kwanza unajifunza zaidi , unakutana na watu wengi unafungua BIASHARA mpya iwe huduma au bidhaa mpya unaanza kuonekana kama tajiri wilayani kwako gari uliloanza nalo BIASHARA unaona sio hadhi yako unanua zuri zaidi unachokuja kujifunza kila zuri unalonunua kuna la zaidi yake kila utajiri unoufikia bado kuna aliyekuzidi, biashara zimekua nyingi huna muda wa kupumzika wala likizo kila siku uko nje ya nchi au vikao na business partner, hapo ushafikisha miaka 45 hakuna starehe huijui, utajiri wako haukupi raha tena, unataka zaidi na zaidi unaweka wanasiasa mfukoni unaweza kufanya lolote ila watu hawakujui wewe nani unaanza kujihusisha na wasanii ili ujulikane unawapa offer hata iliwezekana wakutaje tu kwenye nyimbo zao hata upate picha nao, …. Mwisho wa siku unazeeka tajiri shughuli za mjini huziwezi kelele huzitaki tena unatafuta pori ukafe taratib
 
If you group the richest people in the world you will find out that 75% are investors, 15% are entrepreneurs, 7% are inheritors, 3% are athletes, celebrities and politicians and 0% are employees.
Binadamu sio wapumbavu , hatuwezi kuwa na lengo moja ...Kusikiliza motivational quotes za watu waliokufa ni ujinga .

Dunia ni mzungu na kutengemeana ,kila mtu hawezi kuwa na biashara ni urongo wa karne kama unaamni hivyo basi ni mjinga ..Mimi nitaajiriwa miaka 60 ni mingi hata 50 nitakuwa nimeshakufa
 
Back
Top Bottom