Habarini wote.
Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.
Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.
lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili...
mangekimambi80 BREAKING NEWS: Samia ame double mishahara ya diplomats. Kwa mfano hapa Marekani diplomats kutoka TZ walikuwa wanalipwa $6,000 per month, hiyo ni nje ya marupurupu na pia wanalipiwa cost zooote kama day care za watoto etc.
Kuanzia mwezi July diplomats hawa sasa wanalipwa $14,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.