Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 565
- 526
Habarini wote.
Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.
Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.
lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili nyingi, alijua hili litatokea, anatupeleka machinjioni, tusishupaze shingo, tafuteni njia nyingine ya kupambana naye.
Mama mwachie ashiriki uchaguzi. Dola Iko mikononi mwetu, au tumeishiwa mbinu? Kwa kumshikilia kutaleta maafa zaidi.
Tanzania sio kisiwa, Dunia Iko macho. Na SI mhaini. Ccm sio mama yetu kuna wakati viongozi wanapuyanga, bila haki tutaichoka, mama wewe sio malaika, tujisahihishe.