Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.
Napenda kufahamishwa. Lissu amewahi kuuza nje ya Nchi hata ukuni tu katika rasilimali za Tanzania?? Alipelekwa Belgium kitandani kwa risasi au alienda ziara ameitwa na wazungu ?? Kama hatuwezi kutofautisha ukweli wa kauli za Lissu na utapeli mwingine wa kisiasa tutalinda bandari, mbuga, na madini yetu ???????, au tumeridhika na uporaji huu.
 
Habarini wote.

Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.

lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili nyingi, alijua hili litatokea, anatupeleka machinjioni, tusishupaze shingo, tafuteni njia nyingine ya kupambana naye.

Mama mwachie ashiriki uchaguzi. Dola Iko mikononi mwetu, au tumeishiwa mbinu? Kwa kumshikilia kutaleta maafa zaidi.

Tanzania sio kisiwa, Dunia Iko macho. Na SI mhaini. Ccm sio mama yetu kuna wakati viongozi wanapuyanga, bila haki tutaichoka, mama wewe sio malaika, tujisahihishe.
Unapoongelea usaliti unawezaje kuitenga sisiemu? Ni nani wanaogawa rasilimali zetu hovyo? Anaetetea rasilimali zetu zisigawiwe unamuitaje msaliti? Kua na heshima mtu aachiwe kama ulivyosema na wahusika wanaopaswa kuwa jela wapelekwe wakakae wanakostahili
 
Mama yenu ni KIFO Cha kenge, mpaka atakaposhushwa chini kabisa mavumbini ndipo ataamini ushauri mwema unaopewa. Sasa hivi yupo kwenye UZIWI NA UPOFU wa madaraka.
 
Anajikomba kwa watawala. Ukianza kumtukana Lissu unaonekana shujaa
 
Mdichanganye ya ugaidi wa Mbowe, hii tofauti sana. Mbowe aliachiwa kwa sababu ya kukosekana ushahidi, yaani Mapito ya ole Sabaya. Mbowe alikodisha makomsndoo matatu kwenda kumuua ole Sabaya, ushahidi kamili wa tigopesa na kunaswa spin na Luteni Urio akiwaagiza. Bahati nzuri (kwa Mbowe) makomandoo eakakamatwa njiani wakienda kumuua, wakinywa mbege Rau Madukani. Kesi ikawa Haina maana tena kwa sababu mtu wetu kapona na mipango yao imestopushwa. Wakaachiwa. Ya Lissu ni tofauti kwa vile yeye kajiandaa kukinukisha muzuia Uchaguzi usifanyike. Ili kutoka maisha yake na watu wake, kawazuia wasiombe Ubunge Wala udiwani Wala Urais, halafu ndiyo waanza kuvuruga vituo vya Uchaguzi na kupiga foleni za wapiga kura. Wafuasi rasmi kina Heche na Dr Slaa wangesema Waziri na wanaendelea kuhamasisha. Kwa hiyo Polisi hawawezi kuona tishio wakalifumbia macho wakisubiri hadi siku ya Uchaguzi waone kama kweli CHADEMA hawana mgombea eti wasubiri wapigakura waanze kupanga foleni, it will be too late. Minimum ashikiliwe hadi Uchaguzi uishe, au atoke hadharani aseme kwamba hatazuia watu kupiga kura. Walio nje kina Heche ni wajanja, Wala hawataonekana siku hiyo watakuwa kwa shangazi zao Kisumu. Si unamkumbuka maandamano ya Mbowe hawakujitokeza wakamwacha yeye na binti yake? Waache Wabunge walichopenda, na hapo hujawauluza ziliko hela za tone tone.
 
Habarini wote.

Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.

Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.

lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili nyingi, alijua hili litatokea, anatupeleka machinjioni, tusishupaze shingo, tafuteni njia nyingine ya kupambana naye.

Mama mwachie ashiriki uchaguzi. Dola Iko mikononi mwetu, au tumeishiwa mbinu? Kwa kumshikilia kutaleta maafa zaidi.

Tanzania sio kisiwa, Dunia Iko macho. Na SI mhaini. Ccm sio mama yetu kuna wakati viongozi wanapuyanga, bila haki tutaichoka, mama wewe sio malaika, tujisahihishe.
SIO MSALITI, SIO KIBARAKA, SIO ANAJIFANYA MJUAJI BALI NI ANAJUA HASWA,SI MSEMA HOVYO BALI HUSEMA KWELI NA KWA UWAZI. Ni kweli ni mwiba kwa watawala maana watawala wamezoea kuiba huku wakipongezana na kusifiana huku wakilindana lakini TUNDU LISSU sio mtu wa aina hiyo yeye anawasema waziwazi, ni Kweli ana udhi maana hafichi uovu ,hawafichi wezi na wahalifu ana wasema na kiwataja hadharani , ni muwazi tena sana na hasa kwa mambo ya hovyo hovyo.

Wasio mpenda ni wale ambao wamesha zoea na wameona ni desturi kwamba kiongozi hata kama ni mwizi na hawajibiki basi hatakiwi kusemwa wala kuulizwa bali aheshimiwe na kutukuzwa na kupewa misifa bandia ya unafiki TUNDU LISSU si wa aina hiyo.
 
Kwani hata hili mbona halina ushahidi au ndio hao mashahidi wenu wa siri kina yeriko
 
SIO MSALITI, SIO KIBARAKA, SIO ANAJIFANYA MJUAJI BALI NI ANAJUA HASWA,SI MSEMA HOVYO BALI HUSEMA KWELI NA KWA UWAZI. Ni kweli ni mwiba kwa watawala maana watawala wamezoea kuiba huku wakipongezana na kusifiana huku wakilindana lakini TUNDU LISSU sio mtu wa aina hiyo yeye anawasema waziwazi, ni Kweli ana udhi maana hafichi uovu ,hawafichi wezi na wahalifu ana wasema na kiwataja hadharani , ni muwazi tena sana na hasa kwa mambo ya hovyo hovyo.

Wasio mpenda ni wale ambao wamesha zoea na wameona ni desturi kwamba kiongozi hata kama ni mwizi na hawajibiki basi hatakiwi kusemwa wala kuulizwa bali aheshimiwe na kutukuzwa na kupewa misifa bandia ya unafiki TUNDU LISSU si wa aina hiyo.
Absolutely .
 
Napenda kufahamishwa. Lissu amewahi kuuza nje ya Nchi hata ukuni tu katika rasilimali za Tanzania?? Alipelekwa Belgium kitandani kwa risasi au alienda ziara ameitwa na wazungu ?? Kama hatuwezi kutofautisha ukweli wa kauli za Lissu na utapeli mwingine wa kisiasa tutalinda bandari, mbuga, na madini yetu ???????, au tumeridhika na uporaji huu.
Kibaraka was wazungu,
 
Mama yenu ni KIFO Cha kenge, mpaka atakaposhushwa chini kabisa mavumbini ndipo ataamini ushauri mwema unaopewa. Sasa hivi yupo kwenye UZIWI NA UPOFU wa madaraka.
MaMA ni msikivu ni Imani yangu huyo mropokaji wenu ataachiwa lkn ingefaa zaidi baada ya uchaguzi. Kwani watz hatuko tayari kuona kinanukishwa wakati was uchaguzi na huyo mbeligiji koko
 
Habarini wote.

Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.

Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.

lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili nyingi, alijua hili litatokea, anatupeleka machinjioni, tusishupaze shingo, tafuteni njia nyingine ya kupambana naye.

Mama mwachie ashiriki uchaguzi. Dola Iko mikononi mwetu, au tumeishiwa mbinu? Kwa kumshikilia kutaleta maafa zaidi.

Tanzania sio kisiwa, Dunia Iko macho. Na SI mhaini. Ccm sio mama yetu kuna wakati viongozi wanapuyanga, bila haki tutaichoka, mama wewe sio malaika, tujisahihishe.
Hii ni kesi ya kipuuzi sana, haina mashiko kabisa, huyo mama muuaji ana shida sana.
 
Atakinukisha ndio Sasa anaropoka hovyo sana
Nyie kenge mnaoita Lissu kibaraka vipi Lissu aliwahi kuasini Mkataba gani wa kuuza rasilmali za nchi?alieuza Roliondo kwa waarabu ni Lissu? Vipi waliouza Migodi ya Tanzania kwa mikataba ya ovyo mpaka Magufuli alikuja kufanya marekebisho tutapata angalau chochote ni Lissu ndo aliosaini hiyo mikataba? Jaribu kujenga hoja zenye mashiko bila propaganda zako ni zama za mawe za kale kila mtu anajua Lissu hajawai kuuza rasilmali yoyote ya nchi hii.
 
Habarini wote.

Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.

Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.

lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili nyingi, alijua hili litatokea, anatupeleka machinjioni, tusishupaze shingo, tafuteni njia nyingine ya kupambana naye.

Mama mwachie ashiriki uchaguzi. Dola Iko mikononi mwetu, au tumeishiwa mbinu? Kwa kumshikilia kutaleta maafa zaidi.

Tanzania sio kisiwa, Dunia Iko macho. Na SI mhaini. Ccm sio mama yetu kuna wakati viongozi wanapuyanga, bila haki tutaichoka, mama wewe sio malaika, tujisahihishe.
Mama Mashavu muoga wa uchaguzi wa haki na wazi tumeliona hili kwenye "uchaguzi" uliomfanya awe mgombea pekee na alivyoshughulikia Makamba.
Hao wagombea kutoka vyama vingine ni comedy tuu, kwa mfano Salimu Mwalimu lini aliisema vibaya CCM na bi Tozo zaidi ya kupambana na Lissu na Chadema?
 
Habarini wote.

Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.

Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.

lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili nyingi, alijua hili litatokea, anatupeleka machinjioni, tusishupaze shingo, tafuteni njia nyingine ya kupambana naye.

Mama mwachie ashiriki uchaguzi. Dola Iko mikononi mwetu, au tumeishiwa mbinu? Kwa kumshikilia kutaleta maafa zaidi.

Tanzania sio kisiwa, Dunia Iko macho. Na SI mhaini. Ccm sio mama yetu kuna wakati viongozi wanapuyanga, bila haki tutaichoka, mama wewe sio malaika, tujisahihishe.
Narudia tena na tena, huyu msaliti, mwongo, mropokaji mpaka ale kitanzi! Nimekaa hapa nakunywa kahawa.
 
Back
Top Bottom