Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

Narudia tena na tena, huyu msaliti, mwongo, mropokaji mpaka ale kitanzi! Nimekaa hapa nakunywa kahawa.
1: Kweli Lissu ni msaliti wa Taifa na atanyongwa, sababu ameuza bandari yetu kwa DP world waarab kwa mkataba wa MIAKA 💯.

2:,Lissu akawafukuza wamasai Loliondo akawapeleka Korogwe kwa nguvu, na kupora ardhi yao na kuwapa waarabu kilometa nyingi tu.

3: Lissu amekuwa akiingia mikataba yote ya madini tangu enzi za Rais Mwinyi hadi Mama, amewazuia wazungu na makinikia analipwa billions of money.

4: Tena nimemuona Lissu anachimba makaa ya mawe adimu sana kule Somanga kusini mwa Tanganyika, anauza nje malori kwa malori tena tons kwa tons,,

5: Haitoshi Lissu aliingia mikataba kama mkuu wa Nchi,, ya kuuza gas yote kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara, na kuisafirisha ulaya.

LAZIMA AFE KWA MAKOSA HAYA.

6: Lissu ana vituo vya mafuta( Petrol stations) Tanganyika nzima. Lissu Hana uchungu wowote na Nchi hii. Lissu, Lissu Lissu.

7: Na mwisho Lissu alijifanya kapigwa risasi wakati nilimuona anaendeesha gari mwenyewe hadi Mombasa Kenya akidanganya kuwa anatibiwa Nairobi Hospital, kisha akenda kutalii Marekani akijidai yuko ubelgiji.

Mtoto wa shule una lingine, uongezee kumhusu msaliti Lissu ?
 
Kuna nyuzi zinakera sana mjue!!

Hili ni Taifa,hii ni nchi!ilikuwepo kabla samiah hajashika hatamu!nchi na taifa ilipaswa ijipambanue kama taasisi na sio taifa lidogoshwe na kiongozi alieshika madaraka majuzi!!

Mimi nakasirikia Sana majasusi wanaoamua hatma ya taifa hili hao ndio wanapaswa wanyongwe wauawe kwakua wamelihujumu taifa hili Hadi tumefikia hapa tulipo!!

Raid anaamuaje kinyume na taratibu za taifa na nchi kisheria halafu aendelee kukikalia kiti!!?

Taifa na nchi hii ilipaswa iwe na mifumo imara isiyotikisika ambayo yeyote akiingia asiharibu!Kwa mfumo huu na uozo uliopo hasta upinzani ushike utaharibu!!

Majasusi wa Taifa hili mpo wapi!!?viti mnakalia vya Nini!!
Watu wote tuliowaamini wamefeli na wametuangusha kun mda naamini kunahitajika fikra mpya hizo zilizopo zinazoongoza zimefeli
 
Nyie kenge mnaoita Lissu kibaraka vipi Lissu aliwahi kuasini Mkataba gani wa kuuza rasilmali za nchi?alieuza Roliondo kwa waarabu ni Lissu? Vipi waliouza Migodi ya Tanzania kwa mikataba ya ovyo mpaka Magufuli alikuja kufanya marekebisho tutapata angalau chochote ni Lissu ndo aliosaini hiyo mikataba? Jaribu kujenga hoja zenye mashiko bila propaganda zako ni zama za mawe za kale kila mtu anajua Lissu hajawai kuuza rasilmali yoyote ya nchi hii.
Lisu anatoa Siri Kwa mabeberu na anashirikiana nao Kwa namna ya kuwapa mapungufu ya kisheria Ili kuibia nchi yetu
 
MaMA ni msikivu ni Imani yangu huyo mropokaji wenu ataachiwa lkn ingefaa zaidi baada ya uchaguzi. Kwani watz hatuko tayari kuona kinanukishwa wakati was uchaguzi na huyo mbeligiji koko
Hii ni lugha ya wahusika, wapanga tukio na watekelezaji kwenye tukio la September 7,, 2017, nyumba za serikali makazi ya wabunge Dodoma.
 
si ulitaka chai iweje ulalamike unaungua?
 
Lissu anataka khaki
Samia anataka madaraka Haram

Ving'ora vimemlevya
 
Mdichanganye ya ugaidi wa Mbowe, hii tofauti sana. Mbowe aliachiwa kwa sababu ya kukosekana ushahidi, yaani Mapito ya ole Sabaya. Mbowe alikodisha makomsndoo matatu kwenda kumuua ole Sabaya, ushahidi kamili wa tigopesa na kunaswa spin na Luteni Urio akiwaagiza. Bahati nzuri (kwa Mbowe) makomandoo eakakamatwa njiani wakienda kumuua, wakinywa mbege Rau Madukani. Kesi ikawa Haina maana tena kwa sababu mtu wetu kapona na mipango yao imestopushwa. Wakaachiwa. Ya Lissu ni tofauti kwa vile yeye kajiandaa kukinukisha muzuia Uchaguzi usifanyike. Ili kutoka maisha yake na watu wake, kawazuia wasiombe Ubunge Wala udiwani Wala Urais, halafu ndiyo waanza kuvuruga vituo vya Uchaguzi na kupiga foleni za wapiga kura. Wafuasi rasmi kina Heche na Dr Slaa wangesema Waziri na wanaendelea kuhamasisha. Kwa hiyo Polisi hawawezi kuona tishio wakalifumbia macho wakisubiri hadi siku ya Uchaguzi waone kama kweli CHADEMA hawana mgombea eti wasubiri wapigakura waanze kupanga foleni, it will be too late. Minimum ashikiliwe hadi Uchaguzi uishe, au atoke hadharani aseme kwamba hatazuia watu kupiga kura. Walio nje kina Heche ni wajanja, Wala hawataonekana siku hiyo watakuwa kwa shangazi zao Kisumu. Si unamkumbuka maandamano ya Mbowe hawakujitokeza wakamwacha yeye na binti yake? Waache Wabunge walichopenda, na hapo hujawauluza ziliko hela za tone tone.
Unaongea kama mpumbavu punguani chizi majalala

Hiyo kesi mbowe ilikua unaifuatilia mwenyewe? Kesi ipp humu itafute uisome kisha rudi ujisome uone ulivyo mjinga
 
Kuna taarifa walijua mambo ya mtandao tu ila wamepima wamejua watu wapo serious na nchi yao, vikao haviishi kuokoa Tanganyika
 
Mleta mada naomba niulize swali moja je Lissu amewahi kuuza rasilimali zipi za Tanzania?

Je nani ameuza bandari za Tangayika na mbuga za wanyama 2023?
 
Watu wote tuliowaamini wamefeli na wametuangusha kun mda naamini kunahitajika fikra mpya hizo zilizopo zinazoongoza zimefeli
Kifupi anahitajika Traore au taasisi inayolinda mipaka iamue vinginevyo !isimamie mfumo mpya uundwe Ili ajaye asiharibu!!

Wenye maslahi ndani ya chama na serikali hawataki mfumo mpya uundwe!!
 
Habarini wote.

Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.

Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi.

lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili nyingi, alijua hili litatokea, anatupeleka machinjioni, tusishupaze shingo, tafuteni njia nyingine ya kupambana naye.

Mama mwachie ashiriki uchaguzi. Dola Iko mikononi mwetu, au tumeishiwa mbinu? Kwa kumshikilia kutaleta maafa zaidi.

Tanzania sio kisiwa, Dunia Iko macho. Na SI mhaini. Ccm sio mama yetu kuna wakati viongozi wanapuyanga, bila haki tutaichoka, mama wewe sio malaika, tujisahihishe.
Ina maana yule mtu ni hatari sana kiasi hicho?
 
..Na alivyokamatwa ndio kinanuka zaidi.

..Vyama vinashindwa kuelezea sera, na ilani zao, vimebaki kumzungumzia Tundu Lissu.

..Kimeishanuka tayari.🤣
Naoana vyama vinafanya comedi tu.....hahaua. ni kama vile vimerogwa sio tawala wala pinzani.

Chama kweli ni kimoja tu
 
Back
Top Bottom