Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika...