Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski...