Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki.
je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo...
Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida.
Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
Mhadhara - 34:
Tukizungumzia msiba ni tukio la ghafla - msiba hutokea ghafla. Kwa watu ambao wana maisha ya kawaida matukio ya misiba yanawakuta wafiwa kwenye hali mbaya ya kiuchumi. Hivyo ni muhimu kumchangia hela mfiwa za kumsaidia.
Kuhusu ndoa/harusi:
Siku hizi matukio ya harusi yamekuwa ni...
au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee...
Watu wakiwa kwenye madaraka, wanajisahau kabisa kuwa nao ni binadamu tu kama wengine na yote yanayowapata binadamu wengine (magonjwa, vifo, n.k), na wao yanaweza kuwapata wakati wowote wakiwa madarakani na hata baada ya kuondoka madarakani.
Ni bahati mbaya sana, huyu Mama anaongea utadhani yeye...
Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu.
Marehemu alikuwa...
Hii ni ajabu na kweli,na inatokea Tanzania tu. Serikali ndiyo iliyotangaza kufutwa kwa vijiji na kuamuru watu waondoke eneo la Ngorongoro. Lakini baada ya malalamiko toka kwa waathirika na watu wengine, serikali hiyo hiyo kupitia watendaji wake waliomiminika eneo hilo na kutoa maneno ya...
Ona sasa msunni abaguliwa iran imegoma kumzika sunni katika ardhi ya shia hii deen ya haq changamoto sana.
---
The Islamic regime didn’t allow for Ismail Haniyeh the Sunni to buried in Iran. The Shia’d shipped his body to Qatar.
Spit in the face
Bwana harusi abdoulatif nchini Cameroon katika Jimbo la bafoussam akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuleta maafa kwa kumjeruhi na kumuua kijana Ernest ademilo kwa kumfania akiwa na mama yake mzazi abdoulatif.
Aidha mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya hayo ikiwa ni siku yake ya harusi...
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito.
Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua...
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!
miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?
Je...
Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiwa na Ndg. Issa Haji ussi Gavu Katibu wa NEC- Oganaizesheni na mlezi wa Jumuiya za CCM pamoja na Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi wameweka shada la Maua katika kabuli la Hayati Askofu Fransica Mwita Gachuma mke wa Ndg...
Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya...
Maisha yangu nimeshuhudia misiba mingi na mengine tumeona ya wakubwa na wadogo hapa kwetu kwa imani mbalimbali. Kilichonileta hapa kutofautisha misiba ya maskini na matajiri.
Misiba ya maskini ilivyo:
Ucheleweshi sababu unapoteza mda huna ulichokiacha hapa, utazikwa haraka na kama msiba...
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.
Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao.
Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari
Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.