Mkwere Original tunaomjua na Kumuangalia mara kwa mara hata nje ya Kuigiza na kukutana nae mara kadhaa huko Mitaa ya Kwake Mbezi ya Bonyokwa Yeye kila Kitu tu hukifanyia ' Komedi ' na ni lazima utacheka mno.
Nimetoka kuona Kipande cha Taarifa ya Habari ITV muda si mrefu akihojiwa Kuhusiana na...
Natumaini mnaendelea vizuri.
Nikiri msiba unauma jamani. Yaani maumivu niliyonayo nashindwa namna ya kuyaelezea[emoji24]. Nimempoteza mzazi wangu wakati ambao bado nilikuwa namuhitaji ,umri wangu bado ni mdogo kuweza kusimama bila baba[emoji24]
Tumempumzisha tayari mzee wetu na amani ya moyo...
Ukitumia jicho la tatu kwenye machozi mazito aliyotoa aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya kwenye msiba wa kitaifa wa JPM utaelewa yule bwana pale dhamiri yake ilikuwa inaongea waziwazi si msiba tu ulikuwa unamliza ila kuna msiba mkubwa zaidi ya huo haswa juu ya hatma ya maisha yake.
Mojawapo...
Wasau wa JF,
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame.
Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige.
Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya...
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia.
Walitofautiana...
MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI.
Tarime, 16 May 2021
Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
This comes in the backdrop of reports of growing number of infection within the diplomatic community in the capital.
A Tanzanian official based here has become the first foreign diplomat to die of COVID-19 pandemic. The High Commission of Tanzania has announced that Col. Dr. Moses Beatus Mlula...
Tena leo nakusema (nakuchana) Mubashara na kwa Uhuru kabisa kwakuwa Wewe upande wa Kabila na Mkoa ni Mtani wangu (Nyiramba na Nyaturu) na hata katika Medani za Soka la Tanzania pia ni Mtani Wewe ukiwa Yanga SC na Mimi nikiwa Simba SC.
Kwanza nikuambie tu Mtani wangu Mwigulu kuwa Kibinadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.