msiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  2. John Haramba

    TFF yasikitishwa na msiba wa kigogo wa Chama cha Soka cha Dar es Salaam (DRFA)

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  3. F

    Mwenyekiti CCM Moshi Mjini atumia msiba kuwashambulia waliobwagwa kura za maoni 2020

    Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
  4. Stephano Mgendanyi

    Kenani Kihongosi amuwakilisha Daniel Chongolo kwenye Msiba wa Mke wa RC Martine Shigela

    Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu...
  5. M

    Wanaofanya sherehe za madarasa mapya wakati wapo kwenye msiba wa kufelisha nawashangaa

    Miaka ya hivi karibuni viongozi wa umma wameingiwa na tabia ya kusifu na kushangilia hovyo. Kupitia mitandao ya kijamii tunashuhudia wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakijisifia ujenzi wa madarasa kana kwamba nikitu ambacho hakikua kinawezekana. Hao hao viongozi wameandamwa na msiba wa shule za...
  6. B

    Waziri Nape umeanza vibaya kwanza Kwa msiba lakini pia kwa kauli isiyotekelezeka, Mkipewa nafasi Jikabidhini kwa MUNGU Kwanza awape hekima

    Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza. Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za rambirambi. Nasema nimwombee msamaha kwa sababu alichokisema hakitekelezeki Kwa njia yoyote Ile. Naomba...
  7. C

    Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  8. JAYJAY

    Machinga Wa Feri Poleni Kwa Msiba Mkubwa

    Najua jana katika kulazimisha wapate fedha za kufungia mwaka askari manispaa walivunja godown mnakohifadhi mali zenu na kupora na kuharibu mali na kutaifisha. Kwa kuwa wakati wa tukio mali zilikuwa hazijatolewa wala kupangwa sehemu wanazokatalia msifanye biashara hasa jioni, ni vyema kwa...
  9. masopakyindi

    Masikini Askofu Mwaikali, afukuzwa msibani Kiwira, msiba wa Rev Gehaz Malasusa, aaibu!

    Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa. KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo. Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Utajisikiaje kwenye msiba wako TISS wakisema kuwa ulikuwa mtumishi wao na wanauheshimu mchango wako? Kumbe umesotea ajira zao na hukupata.

    Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye...
  11. ndege JOHN

    Wanaume mnaweza kulia kwa habari tofauti na ya msiba?

    Ukiwa mwanafunzi kweli unaweza ukapigana shuleni ukahisi umeonewa ukatoa machozi. Lakini kwa mtu mzima aisee nimeshindwa kutoa chozi labda nilie msibani ila hata Kama nyumba yangu au duka lije kuungua moto never siwezi kulia kamwe. Hata Kama nifungwe bila hatia siwezi kulia. Labda nyie mniambie...
  12. THE BIG SHOW

    Polepole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu

    Friends and Our Enemies, Hakuna mwalimu bora wa kipind chote kama muda,muda tokea zama na zama umekuwa ni mwalim shupavu Sana ambae anaweza kutoa elimu ambayo ikaeleweka kwa kila mwenye akili timamu bila ya kutumia NGUVU kubwa sana, Bahati kubwa sana kwa kizaz hiki mwalim.mwingine ambae...
  13. F

    Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

    Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha. Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika. Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake, sasa nawaza zile pasi kule kijijini kwao port hotcourt river state itakuwaje. Manara kwa kwelii...
  14. M

    Kwa Uungwana huu wa Yanga SC juu ya Msiba wa Hanspoppe, sina cha Kuwadai na niseme tu Asanteni sana wana Yanga SC wote duniani

    Kitendo cha Klabu ya Yanga kuja na Taarifa ya Pole kwenda kwa Simba SC, Wapenzi wa Simba SC na Familia yake Marehemu kama Mdau mkubwa wa Simba SC nimekipokea kwa Picha iliyo Chanya kabisa. Yanga SC na Simba SC tunataniana mno na Kufanyiana Fitna za kila aina ila kwa huu Uungwana, Ustaarabu, Utu...
  15. BabaMorgan

    Nini hukumu ya mtu anayeshindwa kurudi kwao kushiriki katika shughuli za kifamilia kama sherehe au misiba?

    Katika hali ya utafutaji imesababisha watu kutoka katika mikoa yao ya asili na kwenda mikoa ya mbali au hata nchi tofauti na walikozaliwa na kama ilivyo kwenye kutafuta wapo waliofanikisha kupata huku wengine wakiwa bado wanatafuta. Kwa mtu ambaye yupo mbali na kwao panapotokea msiba au sherehe...
  16. Pascal Mayalla

    Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

    Wanabodi, Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja. Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa...
  17. Black Label

    TANZIA Mpiga picha wa Ayo TV, Nellyson Grigery afariki dunia

    Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV. Kwenye ajali hio mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa...
  18. CONTROLA

    TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba. Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida" Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita...
  19. M

    Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

    Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
  20. my name is my name

    Msiba gani umekuumiza sana huu mwaka 2021?

    Tokea mwaka uanze ndo kwanza tuko mwezi wa 7 ila tokea January mpk sasa kuna misiba mingi imetokea. Kwa upande wako taarifa za kifo cha nani mtu maarufu zilikuhuzunisha na kukusikitishasana huu mwaka 2021?
Back
Top Bottom