msiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

    Huu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi. Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani. Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
  2. R

    Kwangu mimi naona Zito ameongea vizuri kabisa, nasaha nzito Msiba wa Membe

    Amegusa pale ambapowengi kama siyo wote wanapaogopa! Bila kumungunya maneno but highly reserved not to mention names of culprits!
  3. To yeye

    Halafu utashangaa taifa lipo kwenye msiba

    Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😢kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭 Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu. RIP Makamanda
  4. Roving Journalist

    Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  5. Msanii

    Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

    Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe. Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake. Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi...
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Baada ya kushindwa kulipa bilion 9, Cyprian Msiba aombewa

    Cyprian Msiba amegeukia maombi baada ya kuelekea kufilisiwa mali zake kufuatia kushindwa kulipa deni la bilioni 9 analodaiwa Benard Membe
  7. Magari ya kukodisha

    Njoo kwetu ukodishe magari ya harusi msiba, study tour, sherehe na bata mbalimbali

    Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana Dar es salaam Dodoma Mwanza Arusha Kilimanjaro Mbeya Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
  8. GENTAMYCINE

    Kuelekea Mechi ya Yanga na Marumo Gallants naomba kusitokee Msiba wowote wa mwana Yanga

    Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu...
  9. GENTAMYCINE

    Tafadhali niko mbali naombeni 'Updates' za Msiba wa Mzee Nimrod Elirehema Mkono

    Hasa hasa nataka kujua ni lini Mwili wake unaingia kutokea huko Jijini Boston nchini Marekani alikokuwa na alikofia. Na pia kama ukifika nataka kujua je, utapelekwa moja kwa moja Mortuary Lugalo au Kwake Masaki kwa taratibu zingine Kuendelea? Tafadhali kama utapelekwa Kulala Mortuary ya Lugalo...
  10. Jidu La Mabambasi

    Chief hakusamehewa, Sembuse Cyprian Musiba

    Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri. Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake, kutokana na mwenendo wake, kuwa hakika atalamba sakafu. Kati ya wapambe wake wakubwa alikuwa ni Cipuriani Msiba. Msiba masikini hata alikotokea haijulikani...
  11. Mr Dudumizi

    Mambo muhimu ya kufanya pindi tu unapopokea taarifa za msiba wa mzazi wako au ndugu yako wa karibu

    Habari zenu wana JF wenzangu Bila kupoteza muda ndugu zangu inajulikana wazi kuwa kila binadamu yupo hapa duniani kwa siku zake maalum za kuishi, na baada ya siku hizo kuisha atakufa na kurudi kule alipotokea. Sasa basi.. ingawa kifo kipo lakini hakuna anaependa kufa au kufiwa. Hii ni kwa...
  12. Wakili

    Maandalizi ya msiba

    Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu? Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna...
  13. M

    Natamani sana Msiba wa Mzee Mkono wajae Watani wa Wazanaki na Wasukuma ili Wamchane Mjane na Bintiye Leah

    Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono. Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
  14. figganigga

    Utawala wa Magufuli ulikuwa Msiba uliokosa Matanga

    Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa. Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita. Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe. Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka...
  15. Nyuki Mdogo

    KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

    Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana. Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye...
  16. R

    Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

    Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha msiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania? Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa...
  17. Pang Fung Mi

    Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

    Hello mambo aje JF! Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

  19. MSAGA SUMU

    Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu

    Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022. Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo...
  20. Q

    TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
Back
Top Bottom