Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose...
Nipo Marangu msibani nimemsindikiza best wangu aliyefiwa na shangazi yake na mazishi ni kesho.
Sasa basi asubuhi ya leo tukiwa hapa msibani kuna mtafaruku mkubwa umetokea baada ya mzee mmoja anayetambuliwa kiukoo kama Mzee wa Ukoo kusema kwamba baada ya huo msiba atakayefuata kufa ni kaka wa...
Wakuu,
Sakata la yule Afisa wa TRA aliyefariki limeendelea kuchukua sura mpya.
===================
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Mwenda, ametangaza kuwa oparesheni zote za kitengo cha Fast cha kudhibiti wakwepa kodi zitafanywa kwa kushirikiana na Jeshi la...
Salaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.
Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa...
Mara nyingi katika mazingira fulani ambayo hatukutarajia na kwa namna isiyoeleweka kabisa ndipo tunakutana na watu wetu sahihi wakati mwingine hata tukiulizwa tulikutana wapi au tulifahamiana wapi inatubidi kusema uongo kwasababu mazingira na namna ile tulivyokutana watu watatushanga'aa sana😀...
Wajinga kaeni kwa kutulia kizazi hiki cha corona na uvuvuzela hamjui kitu. Msibani watani tunaongea tunachotaka na kwa Raha zetu.
Kaeni kimya
Pang Fung Mi
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa...
Leo nilikuwa kawe kwenye msiba wa Askofu Jonathan kwanza nilikuwa nahuzuni kweli moyoni.
Mpaka pale alipo panda Askofu mkuu wa makanisa ya Calvary akatoa maneno ya kuchangamsha kusahaulisha msiba kidogo moyo ukalainika huzuni ikapungua
Katika kuendelea endelea pale akatoa maneno mazuri...
Jiji la Tanga limegubikwa na huzuni kubwa mchana huu kufuatia msiba mzito wa ALI MUHAMMAD KIBAO.ALI MUHAMMAD KIBAO alikuwa ni Mtoto wa Sheikh Muhammad Ali Albuhri.
Baba yake mkubwa ALI MOHAMED KIBAO ni Hemed bin Jumaa bin Hemed ambaye amewahi Kuhudumu kama Mufti Mkuu wa Tanzania. Msiba huu ni...
Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama...
Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu.
Chanzo: itvtz
Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali...
Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao haujauzoeleka
Kila kitu ni bandia siku hizi:-kope, kucha, shape, rangi, makalio, matiti na sura.
Kabla hujaoa...
Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.
https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024. Tarime, Mara.
Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!
Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.
Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.