msibani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maleven

    Binamu kaja na mumewe msibani lakini analazimisha tuchepuke

    It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu. Tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu. Huku ni kutaka kunivunjia heshima katika familia, imebidi niondoke haraka haraka kutunza hesima yangu. Nilichoamua, ni marufuku...
  2. M

    Ningekuwa Mimi nisingejipendekeza kwenda Msibani London na kupandishwa DalaDala bali ningepambania hasa Ujenzi wa hili Bomba

    Bunge la Ulaya limemwita Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya TotalEnergies, Patrick Pouyanné kujibu madai ya Bunge la Ulaya kwamba Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania haukuzingatia tahadhari za kimazingira na haki za binadamu. TotalEnergies ndiyo kampuni...
  3. and 300

    Tetesi: Kwaya ya Mt. Kizito yaalikwa UK

    Zipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa
  4. MamaSamia2025

    LIVE: Kinachoendelea msibani kwa Eliza, UK

    Tayari tupo msibani huku kwenye jumba la kifalme kama picha niliyopost inavyoonyesha. Muda mchache uliopita alifika mzee wa ukoo na tayari kikao cha wanandugu kinaendelea. Ila jana tayari walishamchagua mrithi wa malkia... kuna mtoto wa Malkia anaitwa Charles ndo kachaguliwa.... wenyewe huku...
  5. Analogia Malenga

    India: Tembo amuua mwanamke, ameenda msibani na kuikanyaga maiti ya mwanamke huyo kabla ya kuzikwa

    Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia mama huyo ambaye alifariki akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rasgovindpur. Siku ya mazishi...
  6. Replica

    Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

    Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua. Mama Said amesema yeye na ndugu zake wamelala nje tangu Jumapili na kila wanavyojaribu kuwaambia upande wa pili wamekatalia ufunguo...
  7. K

    Ni mbinu gani huwa zinatumiwa na viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kuomba hata msibani

    kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
  8. BigTall

    (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
  9. Erythrocyte

    Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

    Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa! hii si sawa kabisa, Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima . Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani...
  10. RWANDES

    Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

    Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza...
Back
Top Bottom