https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8
Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu.
Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko.
Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji.
kwa mtu mwenye...
1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti
2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite
2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu.
3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa.
CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared
Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete.
Itakumbukwa kwamba Lowassa ndiye aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza kuteuliwa kwenye awamu ya...
Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa.
Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki...
Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika.
Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .
Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi.
Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi.
Kaimu afisa wa...
Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana.
Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja.
Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua...
GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba
Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye wakijadili jambo msibani kwa Membe amesema January ni Waziri siyo First born wa SSH hivyo kiburi chake...
Rais wa Kenya, William Ruto na Naibu wake, Rigathi Gachagua wakisalimiana kwa kupeana mkono na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga wakati walipokutana kwenye msiba wa Mukami Kimathi ambaye alikuwa mke wa marehemu Dedan Kimathi ambaye alikuwa ni mpigania uhuru wakati wa Ukoloni.
Akiwa msibani hapo...
📍 Igunga, Tabora
"NENO LA SHUKRAN"
Tunatoka shukrani zetu za dhati kwa Wakazi wa Jimbo la Igunga na Wananchi waliotoka maeneo mbalimbali kushiriki nasi kwenye Dua na Mazishi ya Mzee wetu Saleh Amor, (Katibu wa Elimu, Malezi na Mazingira wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi...
Nadhani kila mtu anajua kuwa makabulini sio sehemu ya furaha . ni sehemu ambayo tumepumzisha miili ya ndugu zetu, marafiki zetu ,naa wapendwa wetu inawezekana tulikuwa tunatamani sana leo hii tungekuwa nao ila mungu kawapenda zaidi.
Japo kiimani tunaamini bado wapo na sisi ila kimwili hatupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.