1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala
2. Je, CHADEMA wanaweza kuzuia Uchaguzi? HAPANA hiyo sio kazi yao, mwenye mamlaka ya kutangaza na kuhairisha uchaguzi...
Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa.
Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na...
Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
Kiongozi wa baadhi ya wabunge 19 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee ametuma emoj ya kucheka baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kusema wanatakiwa kueleza nani alisaini mchakato wa wao kuingia bungeni huku akisema yupo tayari kuwapokea wabunge hao .
Kauli ya...
Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema
John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime
Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano
Heche na Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya
Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana .
Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
Wanabodi,
Jambo lolote jema ambalo limeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu, liwe la serikali au mtu binafsi linahitaji pongezi. Pongezi sio tu katika kuonyesha maisha yaliyoguswa na kitendo hiki bali pia kumpa motisha aliyefanya tendo hilo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa...
Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema:
"Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
Wakuu,
Hawa watoto wa kike wanajua udhaifu wetu ni papuchi.
Kuna wakati unakataza jambo fulani ila yeye hasikii anakiuka kwa makusudi. Au anafanya kosa fulani analojua kabisa ulishamkanya hupendi...
Au umetoa maelekezo fulani kama baba wa nyumba na akakiuka kuyatekeleza kwa makusudi tu...
Jamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais...
Watu wa mara ni watu strong sana sina wasiwasi nao, heche amesema watanzania wanatakiwa kupata CHAMA mbadala kitakacho pinga Rushwa kwa vitendo. Na amesema ataoa msimamo wake hivi punde.
Mungu ibariki chadema chini ya mpigania haki ya kweli ambae ni
Lisu. by mwinjilist wenu Gabeji.
Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo.
Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea.
Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda. Hii ni kwasababu ya chaguzi na mwenendo wa nchi kwa sasa. Kama akishinda Mbowe bado itamlazimu abadilishe mbinu. Hivyo Kama Lissu akishindwa bado sera za Chama zitakuwa za misimamo mikali. Lissu akishida ndiyo kabisa. Mbowe ni...
Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine
Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake
Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito...
Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku..
CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM..
Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni...
Upande wa Chadema shida inaonekana Freeman Mbowe amekuwa mpole sana kwa dola hadi kufika kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.