Ndugu wanamichezo wote!
Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.
Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!
Mechi ya Leo 16.08.2024
Pamba 0- 0 Prison
RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round.
Ligi ina jumla...
Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana...
Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka....
Kenya - Medali 6,Riadha
Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli
Uganda - 2,Riadha
Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics
Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
Salaam, Shalom!!
Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?
Iweje mlipwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa?
Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali...
Life goes on wakuu, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa aliundiwa zengwe lililopelekea kujihuzuru kwake. Alichokifanya Lowassa lilikuwa ni jambo jema lakini lililopelekea watanzania kukosa huduma ya kiongozi jasiri na shupavu.
Kimsingi matatizo yote yanayotukabiri Leo...
Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani.
Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America.
Namshauri...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana.
Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato.
Ziko nchi tayali wameshaweka
Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc.
Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine maarufu kama GGM. Nchi nyingi zenye uwekezaji wa Anglo America ikiwemo Botswana South Africa zimetoa...
Mimi sishabikii upande wowote wa hii vita ila Kwa hali ya kawaida kama kweli huwaungi mkono vijana wa hamas na ni mkazi wa Gaza si unahama kabisa kwanini Mpaka watoe taarifa kwamba muondoke nyie bado mmetulia ndani. Israeli anafanya kuhangaisha watu sio jambo jema na ilikuwaje hamas wanajenga...
Match day 24.
Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024
Vinara wa magoli.
1. Ki Azizi - 15
2. Fei Toto - 14
3. Shentembo - 11
Katika taarifa ya pamoja na Pakistan nchi hizo mbili zilitoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano kati ya Mrithi wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman Al Saud na Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif.
RIYADH:
Saudi Arabia inaonekana kuunga mkono msimamo wa India kuhusu Jammu na Kashmir katika...
Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000.
Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili.
Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
Sisi tunaoishi maisha halisi huwa hatupendi kuwa karibu na jamii ya watu wanafiki, chawa, waongo waongo, wanao-'pretend', au wanao 'fake' maisha; kwa sababu tunajua hayo si maisha yao halisi na hatuwezi pia kuwavumilia.
Kwa hiyo mnavyotuona tuko mbali nao, sio kwamba hatupendi kujichanganya na...
Wakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda .
Cdm jitafakarini
EDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi
1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)
Mechi za kumalizia
Al...
Friends and Our Enemies,
Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo.
Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye...
Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, vikao vya kamati hizo ambavyo ni muhimu katika utendaji wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.