Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?
Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
Wanaukumbi.
Qatar inakanusha rasmi ripoti zinazosambaa kuhusu kuwatimua Hamas na kufafanua msimamo wao kuhusu upatanishi huo.
Msemaji Rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje: Juhudi za Qatar kupatanisha Hamas na Israel zimesitishwa kwa sasa.
Dk. Majed bin Mohammed Al-Ansari, msemaji rasmi wa Wizara...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.”
Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK.
Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend...
Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya.
Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA kwa sasa ni kama wanajenga mnara wa Babeli.chama ni kama hakina uongozi wala hakifanyi vikao wala kuwa na mipango na mikakati ya pamoja . Ndio maana kila mtu hujitokeza hadharani kwa kukurupuka na mihemuko na kujiropokea chochote kile kinachomjia Mdomoni mwake...
Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako
Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako?
Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi?
2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!
Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia...
Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
Young Africans- goals 17- million 85Tsh
Azam fc- goals 1- million 5Tsh
Coastal Union- goals 0- 0Tsh
Simba -goals 0 - 0Tsh
Pesa ya mama haijaenda kwenye kombe la akina mama
Simba atatolewa Leo kwenye kombe la akina mama bila kupata pesa ya mh Rais
Yanga team kubwa sana
Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania
Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko mazito kuhusu vitendo vya utekaji vinavyohusishwa na baadhi ya viongozi ndani ya chama cha CHADEMA. Matukio haya yanapokuwa ni sehemu ya majadiliano ya kisiasa na kijamii, tunapaswa...
Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
Jf,
Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake.
Mteua yuko makini sana
Mteule ni mcha Mungu sana
Bunge limepata mtendaji imara sana.
Kwa uteuzi huu nadiriki kusema Rais wetu yuko makini sana.
PIA SOMA
- Uteuzi Septemba 16...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka uchunguzi wa kina ufanyike kubaini wahusika wa mauaji ya kada wa Chadema, Ally Kibao siku moja baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana majina yao wala walipotokea.
Wito wa LHRC unaungana na wa Chama cha ACT-Wazalendo, kilichohoji maswali...
Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka.
Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe.
Mimi ningekuwa wakili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.