Kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu, nimepta mara nyingi katika mbuga zilimwazo mpunga kuanzia Dodoma, Manyoni, Itigi, Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga na mkoa wa Mwanza Kwa kipindi kuanzia January Hadi March mwaka huu.
Nimepata picha kuwa mwaka huu tutakumbwa na uhaba mkubwa Sana kama...