msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Haji Manara (Msemaji wa Yanga SC) katamba kuwa Wameuza mno Jezi Msimu huu sasa mbona wamezipunguza Bei?

    Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa? Leo Klabu ya Yanga imeamua...
  2. Papaa007

    Mvua za msimu huu (Februari, 2022) hazieleweki

    Habarini wanandugu wa JamiiForums nimekuwa nizifwatilia mvua za msimu huu kama mjuavyo kwa ajili ya kilimo lakini inashangaza sana kwani hazieleweki. Kama huku Arusha yapata siku 4 mvua haijanyeshi sasa na jua lipo lali kama kawaida je ndo mvua za masika zimeisha? Ama hapo baadae mwez wa 3...
  3. K

    #COVID19 Viongozi tunapoelekea msimu wa mvua na baridi chukueni tahadhari. Miaka miwili nyuma kipindi hiki hakikua kizuri! Tubuni...

    Viongoz au matajiri wengi wapo kwenye risk kubwa kiafya pale magonjwa yanapoingia au Hali ya hewa inapobadilika kuliko maskini. Kinyume chake yawezekana maskini ni wengi na wakipatwa na majanga hakuna anayesambaza habari zao ila tajiri au kiongoz akiondoka Dunia inajua. Viongozi wengi tulionao...
  4. MK254

    Wakenya bana...tiketi za SGR zimeisha, mabasi ya mikoani yamekodiwa yote kuelekea msimu wa Krisimasi

    Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi. ===================== The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is...
  5. M

    Simba mtateseka sana msimu huu kama staili yenyewe ndo hii

    Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu kupata angalau kagoli kamoja mbele ya timu inayocheza pungufu kwa muda mrefu. Kama mpinzani akiwa...
  6. Venus Star

    Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

    Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi. Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji. Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO. Hii hapa ni takwimu za list season...
  7. M

    Aaron Ramsdale na save bora ya msimu

    Golikipa wa timu ya Arsenal, Aaron Ramsdale ameokoa mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na James Maddison nje kidogo tu ya eneo la 18. Save hiyo ya Aaron Ramsdale ndio inasemekana kuwa save bora ya msimu
  8. CoderM

    Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi. Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo. Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya. Msimu...
  9. OGTV

    MASWALI NA MAJIBU: Msimu wa Diversity Visa ya Marekani kwa mwaka 2023, Epuka kutapeliwa

    Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii . Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako. https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa American Diversity Visa Season for the year 2023 Accurate information, Questions and Answers about...
  10. GENTAMYCINE

    Msimu huu kwa Mpira huu 'mwingi' wa Yanga SC tutawasingizia Wananunua tu

    Najua huko ( huku ) Mitaani sasa Gumzo ni Yanga SC 'Kanunua' kwa KMC FC na kwamba Kipa Farouq Shikalo na Beki Vicent Dante Chikupe ndiyo 'wamechomesha' kwa Kuchukua 'Mlungula' Yanga SC kwakuwa walitoka huko. Nadhani JamiiForums nzima hakuna asiyejua kuwa GENTAMYCINE Mimi ni Simba SC 'lia lia'...
  11. matunduizi

    Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

    Zamani ilikuwa ni ugomvi. Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita. Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa. Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa. Aliyebuni hii mbinu anaakili...
  12. The Stranger

    Misimu ya Matunda Tanzania

    Habari wanaJF.. Nimejaribu kutafuta misimu ya matunda karibia site zote kwenye mitandao zinazohusiana na kilimo bila mafanikio, hatimae nimekuja hapa Jf nikiamini kabisa hapakosi wataalam na wazoefu wa maswala haya. Yeyote Anaejua miezi ya kuvuna matunda tafadhali naomba atujulishe.. mfano...
  13. REJESHO HURU

    Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

    Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
  14. T

    Kocha yupi atafukuzwa mapema?

    Ligi zikiwa zimeanza katika nchi mbalimbali duniani , je ni kocha wa klabu ipi unadhani Atafukuzwa mapema kutokana na mwenendo mgumu wa timu, au timu kumshinda uwezo. Je, kocha yupi unatamani afukuzwe mapema Ili kuweza kuokoa matokeo ya timu. Watford huko Epl yashamtimua kocha wao Xisco Munoz...
  15. May Day

    Ni ajabu huyo anayelaumiwa ndiye alikuwa Mfungaji bora namba mbili msimu uliopita

    Mashabiki wa Mpira wa Tanzania ni wa ajabu sana, ni kama kundi la Watu tusiojua haswa tunataka nini. Leo hii mnamdhihaki Mtu aliyefunga magoli mengi kuliko Wachezaji wote wa ligi msimu uliopita akipitwa na Mchezaji mmoja tena kwa kuzidiwa goli moja tu?. Kama yeye analaumiwa ni nini mnawaambia...
  16. Gordian Anduru

    Technology gani inatumika kukokotoa ball possesion?

    wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
  17. demigod

    Bundi wa Yanga SC wa Misimu Minne Iliyopita Amehamia Rasmi Msimbazi

    Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC. Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia...
  18. M

    Simba aliishia karibu caf champions league msimu uliopita, msimu huu timu ya wananchi imefika mbali sana hadi NIGERIA!!

    Hao ndio mabingwa wa kihistoria Tz, wameitendea haki nafasi waliyoipata kwa mbeleko na kufika mbali sana kwenye caf champions league hadi NIGERIA!!!
  19. M

    Kama sababu Kuu ya Yanga SC kufanya vibaya CAF CL ni Pre Season basi tuwaombe GSM watusajilie upesi huyu Mchezaji Pre Season ili Msimu ujao tutoboe

    Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi? Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha...
Back
Top Bottom