Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja
“Nafurahi tumetwaa ubingwa, haikuwa kazi rahisi, lengo letu ni kuhakikisha hatupotezi mchezo hata kama...
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine.
Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu yetu pendwa ya Simba kiasi cha kumfurusha aliekuwa kuwa kocha mkuu Professor Pablo. Wachezaji wengi wameshuka viwango je kwa msimu huu nani atakuwa mchezaji wetu bora?
Wakuu Habari ya Jumapili.
.
Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi.
.
Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote.
Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!!
Ameishia na keshaanza kuwaza kukimbilia Marekani au uarabuni. Mwenzake CR7 hadi sasa ana magoli 18 na ndiye shujaa wa...
Baada ya tathmini yangu, nimegundua kuwa Liverpool hatotwaa taji lingine msimu huu na atabakia na kombe lake la Carabao.
Wote ni mashahidi, kwenye EPL tumeona moto wa Man City ambaye kwa mechi mbili zilizopita kafunga goli 10 na kuruhusu moja. Man City anapewa nafasi kubwa sana ya kutwaa EPL...
Tangu kuanza kwa msimu huu sisi mashambiki wa simba tulikua na matumaini makubwa sana na timu yetu, na hii ilitokana na ukweli kwamba takribani misimu minne tulikua na timu bora sana na hivyo tulifanikiwa kudominate soka la bongo na hata katika medali za kimataifa tulijaribu kupambana kidogo na...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Karibu...
Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo.
Julio ameongeza kuwa, wao kama Namungo wanataka kuwafunga Yanga kesho ili kuweza kuvunja mwiko wa kutofungwa msimu huu...
Injinia Hersi katikisa afrika unaambiwa kimyakimya baada ya kutoka Ivory coast kumsaini Ki aziz ambaye amekiri kwamba Yanga ndiyo klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa kabisa Afrika mashariki na kati ,jamaa akatua pale South Africa kimafia kabisa na kufanikiwa kumshawishi Mnamibia Peter...
Habar Wana Jf,
This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta,
Nazungumzia Cooking oil.
Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa kwenye bei wanazopewa na wawekezaji , lakini wazo langu kwa sasa lmefitika kwani Hawa jamaa Nawaona...
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
Huu ndio ushauri wangu kwa viongozi na wachezaji wa Yanga ili tusije kujikuta tunakosa ubingwa au kutwaa ubingwa dakika za mwisho kabisa.
Sifa kwa Yanga zikiwemo sifa kwa wachezaji binafsi, ni nyingi sana(off course mnastahili), ila nawashauri zisiwafanye mlewe sifa mkawa na overcofidence ikaja...
Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu.
Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
Mikoa mingi hapa nchini kwa sasa inapitia katika kipindi cha jua kali na lenye joto kali kupindukia, si usiku si mchana joto ni kali.
Bado wananchi mfumo wao wa maisha ni ule ule kutokana na wengi kutokujua umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara hususani kipindi kama hiki.
Kipindi kama hiki...
Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Source: Bodi ya Ligi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.