Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa.
Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu.
Juma Mgunda...
Mayele mpaka sasa kacheza mechi 18 kwenye mashindano yote msimu huu.
Amefunga mabao 17.
Ana 'assist' 4.
Huyu mwamba mwaka huu anaweza kuweka rekodi mpya ya upachikaji wa mabao. Maana ligi haijafika hata katikati, FA haijaanza, Mapinduzi Cup bado haijaanza, Shirikisho ana michezo 6, huyu ni...
Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu.
Na takwimu za Azizi Ki ndiyo hizi, jamaa siyo kwamba tu anafunga na kutoa 'assist' ila anafunga na kutoa 'assist' kwenye...
LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Msomi, 😊.
Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu.
Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m
Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
Kwakweli yanga wamejaribu kuteka attention za mashabiki mbalimbali kwa kusubiri jezi ambazo walisema zitakuwa bora kuliko timu yoyote ile, je Simba wataweza kuwafunika Yanga katika kuzindua jezi zao mpya siku za usonii.
Vipi wadau wa nguvu moja Msimbazi
Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka Azam sijui ni shilingi ngapi kwa mwaka nimesahau
Kama...
Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu.
1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo.
2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana.
3...
Hii yaweza Kuwa habari mbaya kwa mashabiki wa simba na yanga lakini pia yaweza kuwa habari njema kwa timu pinzani kwa hawa watu.
hatihati ya Mayele kwenda Kwa Madima naona iko ukingoni kabisa ikiwa kabakia mwenyewe mhusika kuangusha wino, kwa dau lililopo hata mchezaji kubakia Yanga itakuwa...
Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league.
Viongozi na mashabiki wa Yanga wanatamani kuona timu yao msimu unaokuja kwenye caf champions league...
HAKUNA nchi inajua kuwapamba watu wake wa mpira Afrika kama Tanzania. Mtunisia Nasreddine Nabi kwa sasa anaitwa profesa. Alisomea wapi? Sina majibu. Ukitazama pale katikati ya dimba kuna kiungo Mganda Khalid Aucho, lakini kwa sasa anaitwa daktari. Alisomea wapi? Sina majibu. Ndiyo mpira wetu...
Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key propaganda yake na jinsi walivyo handle suala lake lita wa cost sana mbeleni huko
***Sharti la...
Foward hatari wa kimataifa fox in the box aliyepachika magoli ya kutosha kwenye mechi chache takwimu zake ni hatari amekuja nchini kutusaidia kimataifa mwite Lazarous Kambole mechi 46 magoli 2. Mengine hawajayahesabu mazoezini.
Winga hatari winga wa kuingia nyo kwenye box aliyelitumikia bechi...
Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi.
Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...