msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Ulega Afanya ya Kushtukiza Usiku Miradi ya BRT, Aagiza Ikamilike Kabla ya Msimu wa Mvua za Masika

    WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
  2. Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024

    Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024; 1. Ruvuma ulitumia tani 100,000, 2. Njombe tani 75,358, 3. Mbeya tani 75,252, 4. Songwe tani 71,230 5. Iringa tani 44,214.
  3. G

    Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  4. R

    Kipindi cha kuingia mwaka mpya ni msimu wa wahubiri uchwara kuvuna pesa!

    Fungulia tu hizo redio zao usikie habari za makongamano na ibada za kubariki,kukomboa, kutakasa n.k mwaka mpya ujao. Ukiwa mpumbavu fulani unajipeleka halafu unaambiwa toa sadaka au panda mbegu kwa ajili ya mwaka mpya uwe wa mafanikio. Pesa zile zinaingia mfukoni kwa mhubiri. Hivi watanzania...
  5. Uganda: Mamlaka yazuia Wafungwa/mahabusu kutembelewa Msimu wa Krismasi

    Mamlaka za Magereza zimesema kama sehemu ya hatua za kuzuia “uwezekano wa uvunjifu wa usalama”, wafungwa/ mahabusu hawataruhusiwa kupokea wageni kwa siku 7, kuanzia usiku wa Krismasi Msemaji wa Huduma za Magereza Uganda, Frank Baine Mayanja, amesema “Krismasi inaleta furaha na wafungwa wengi...
  6. Offa msimu wa krismass Mabegi ya watoto ya shule kwa 17,000 tu

    Njoo nikupe begi Imara kwa na quality ya juu kwa bei ya kufunga mwaka. Nicheki 0783973428 Nipo kariakoo Dar es salaam
  7. Sukari ya Brazilian bei ya offa kwa msimu wa krismass tu.

    All stock Sold
  8. X

    Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  9. U

    Nyimbo maalufu za msimu wa sikukuu ya Christmas, tupia wimbo mmoja na uweke na maneno ya husika na jina la mtunzi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni Jim reeves: •Seno Santa Claus •Jingle bells •Silent night •Mary's boy child SILVER BELLS: "City sidewalks, busy sidewalks Dressed in holiday style In the air There's a feeling Of Christmas Children laughing People passing Meeting...
  10. Coastal Union imevunja mkataba na Ley Matamp aliyekuwa golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24

    Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
  11. L

    Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  12. A

    KERO Ubovu wa barabara ya kigamboni/ferry - cheka: Mkurugenzi wa Manispaa, Meneja TARURA/TANROADS mna mpango gani kuelekea msimu wa mvua?

    Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la kufanyiwa marekebisho lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika. Tunaelekea katika msimu wa mvua za masika...
  13. T

    Embe tunda la msimu!

    Hii inawahusu wale waliokuwa washabiki wa Mnyama ambao walihamia Tu-mbili Sports Club aka Utopolo, na sababu kuu waliotoa NI kuwa wanafuata furaha kwenye Timu isiyofungwa. Wengine walitukejeli adi Kwa nyimbo eti' Yanga tamu!' na pia eti wakaenda mbali Kwa kusema eti ' maisha yamchanganye na...
  14. Msimu Wa Kupanda Miche Ya Matunda Umefika Sasa.

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  15. A

    Chimbo jipya la kilimo cha mahindi msimu huu

    Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi. Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location...
  16. Sababu za kiroho kwa nini unatakiwa kula mananasi kwa wingi kwenye msimu huu wa Mananasi

    Sababu ni moja tu nayo ni👇👇👇 Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi. Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu hicho. Mifano kupanda mazao msimu wa mvua zinapo anza. Sasa hivi ni msimu wa Mananasi, tafsiri yake...
  17. Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

    Kwa wakulima wenzangu msimu wa maembe umewadia changamoto kwa sasa ni soko linapatikanaje. Kwa yoyote mwenye kujua soko la uhakika tafadhari naomba tujulishane au kama unahitaji embe kwa bei ya jumla utazifata shambani Kibaha. Nitafute kwa wasap 0746590147 tufanye biashara
  18. Ni msimu wa maembe, tumia ipasavyo kwa ajili ya afya yako

    Katika kipindi hiki Cha msimu wa matunda ya maembe, ninakukumbusha kutumia kikamilifu ili yaendelee kuboresha afya yako. Katakata(chop) Kisha weka kwenye kikombe Cha chai. Halisababishi kupanda kwa sukari sababu ya nyuzinyuzi zake( Low glycemic index) pia kiwango kidogo Cha nishati( Less than...
  19. Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
  20. Hivi ndivyo Amorim anavyoweza kupanga kikosi cha Man Utd msimu huu

    Jamaa anatumia 3..4..3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…