Kutoka ligi yoyote duniani.
Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas.
i)Eric Ten Haag
ii)Fadlu Davies
iii)Mourinho
iv)Vincent Kompany
Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
Nimeangalia mechi ya man city vs man utd kiukweli hatujapata burudani ya kutosha kutokana na kwamba kuna baadhi ya wachezaji ambao walitumikia timu zao za taifa hawakuwepo kwa sababu ya kupumzishwa au bado hawajaripoti kambini.
Rodri, Foden, Walker hawakuwepo hata De bryune kaingia baadae sana...
Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena .
Namna ya kujiunga
Code to join this league: gxdwy2
Au
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2
Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like.
kwa hizi mechi mbili nilizoishuhudia Simba ikicheza ni dhahiri kuwa kuna mabadiriko makubwa ya kiuchezaji na viwango vya...
Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake.
Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
Leo kuna jambo nitalisema kwa sababu nimelitafakari muda mrefu hasa baada ya msimu uliopita kuisha.
Katika msimu wa 2022-23, msimu wa mwisho wa Che Malone Fondoh akiwa na Coton Sport ya Cameroon, timu hiyo ilishika nafasi ya mwisho katika kundi lake kwenye CAFCL, ikiongoza kwa kuruhusu magoli...
Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza.
Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
Eng Hersi Said akili nyingi
Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende.
Kesi iliyoamuriwa mwaka 2022 iwe Leo ndo ihitaji maamizi.
Mbumbumbu wamegoma kustuka wapo usingizini
Kwa akili hizi wanahabari watajaa, macho ya watu yote watashuhudia uzinduzi wa jezi mpya za msimu...
Tayari Mtaalam wenu wa Tegeta ( Dada ) na yule wa Lindi ( Mpwa wake Boss Kwetu ambaye pia anatumiwa na Boss namba Tatu nchini ) Watu wameshamalizana nao. Huyo wa huko Ikwiriri Mkoani Pwani mlikoelekezwa na yule Mzee wenu Muhuni aliyempiga Mkwara Rais wenu wala hana Maajabu. Tumejipanga.
Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
Hongera kwa uongozi wangu wa Yanga kwa kazi inayoendelea mpaka sasa kiukweli kwa kiasi fulani inaridhisha kuimarisha maeneo yaliyokua yanalega lega msimu uliopita. Lakini kuna jambo naona halijakaa sawa na hapo viongozi lazima tuwaambie mlipopuyanga.
Huyu Guede ambaye gari lake limewaka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.