Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.
Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.
Huyu...
Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake.
Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
Shalom shalom
Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc.
Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025
Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake
Ujio wake ndani ya Yanga ni jambo la furaha sana kwa mashabiki wa Yanga maana ni mchezaji ambaye aliibwa sana hati kutia...
Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...
Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga.
Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi na mpaka sasa hatuoni kikwazo chochote kutoka kwao.
Tayari tumeshatoa taarifa kwa wachezaji wote...
Msimu umetamatika kwa wapenzi wa soka, yapo matukio yanayoumiza na yapo yanayofurahisha. Furaha za matukio huzidiana hivyo ipi kati ya mechi hizi tatu za Yanga ilikufanya uwe na siku bora zaidi kuliko siku zingine zote ndani ya msimu huu wa 2023/2024?
Habari,
Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Africa.
Pili, nawapongeza kwa makusanyo makubwa ya fedha waliyoyapata katika...
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka
Kila mtu mtu ukimuuliza atakwambia nimeiona mtibwa sugar ikishuka daraja na Simba ikishika nafasi ya 3
Haya ni matukio makubwa...
Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo
Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku
Nani kusepa na kombe hilo?
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam- UDSM kinakualika katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu msimu wa 9 - 2024 yatakayofanyika 5 -7, June 2024 katika ukumbi wa Maktaba Mpya.
Akizungumza katika Ukaribisho huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Utafiti, Profesa Nelson Boniface amesema mwaka huu...
Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe
Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu.
---
Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
aziz
aziz ki
bara
jumla
kinara
kuu
ligi
ligi kuu
misimu
msimu
nbc
nbc premier league
premier
premier league
rekodi
soka
soka tanzania
tanzania
tanzania bara
ufungaji
vipi
Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 msimu unaomalizika leo
kikosi changu
1.Diarra
2.Yao
3.Lawi
4.Job
5.Bacca
6.Aucho
7.Pacome
8.Feisal
9.Aziz Ki
10.Waziri JR
11.Mudathiri
Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake
hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili.
Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
Naaaje wazee!
Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni.
Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba.
Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young...
Nawasalimu nyote.
Hamjambo hapooooooo!!
Hahahaaaaa.
Ok twende moja kwa moja kwenye hoja,ni hivi MISIMU mbalimbali ya ligi hapa duniani hiyooo inaisha ila mingine bado inaishia.
Nina swali dogo tu halihitaji kwenda shule ili ujibu linahitaji akili za kawaida tu.nauliza hivi MISIMU MBALIMBALI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.