msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni nani mchezaji wako bora wa Simba SC kwa msimu huu wa 2023/24?

    Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4. Kujinasua kushuka daraja Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
  2. Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  3. Upotoshaji wa Taarifa katika soka msimu wa usajili

    Upotoshaji wa taarifa kwenye soka hufanyika zaidi wakati wa msimu wa usajili. Kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka hufuatilia kujua Wachezaji wanakuja na kuondoka kwenye timu zao, wapotoshaji hutengeneza #taarifapotofu kwa makusudi ili kupata wafuasi kwenye kurasa zao au kuibua taharuki. Kwa...
  4. Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024 Leo Azam fc vs Coastal Union Kesho Yanga Vs Ihefu
  5. Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
  6. Azam TV yarudisha tena La Liga kuanzia msimu ujao

    Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025 Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...
  7. S

    Kakolanya Kutimukia Yanga Msimu ujao?

    Upo uwezekano mkubwa wa Beno kakolanya kurejea yanga msimu ujao. Inaelezwa yanga ipo kwenye mpango wa kuachana na Metacha mnata japo bado anamkataba wa mwaka mmoja umesalia. Beno kakolanya amebakisha mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Singida fountain Get, Yanga na singida black stars (Ihefu)...
  8. K

    Tuwe na mpango madhubuti wa kupanda miti millioni 50 msimu huu wa mvua

    Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
  9. L

    Simba iwaongeze wazawa hawa msimu ujao, wana uwezo mkubwa

    Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana...
  10. EPL: Wanaowania tuzo za Kocha Bora & Mchezaji Bora wa Msimu watajwa, Kura yako unampa nani?

    Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp - Liverpool Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
  11. Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2024/2025

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  12. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  13. Jonas Mkude ameshakula zaidi ya Tsh mil 300 za Yanga mpaka sasa na amecheza mechi 3 tu msimu mzima

    Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi. Je, huu ni uungwana? Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
  14. First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

    First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni): Ayoub/Abeli Israel Zimbwe/xx Kazi/xx Che Malone Sarr/Hamisi Chasambi/Balua Ngoma/Mzamiru xx/Kanoute/Freddy Kramo Miquissone/Karabaka Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa...
  15. Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
  16. Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

    Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
  17. Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

    Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni mafanikio ya kupigiwa mfano kabisa! Ukiongeza Yale mafanikio ya wasap channel pamoja na ngao ya...
  18. Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

    Attack Attack Attack
  19. Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

    Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza...
  20. CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za CAF. Zone 1) North Africa Zone 2) West / Central Africa Zone 3) South / East Africa Kwa sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…