Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali.
Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika...
Bro, chukua hii.
Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu
Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo...
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita.
Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana.
Upinzani ukiwa imara siku...
Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa kwenye kiini (core/mantle) kuna joto lenye shinikizo (pressure) kubwa kiasi cha kuweza kutoka nje ya...
Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana...
Mwandishi mahiri wa vitabu vya lugha ya kiingereza, mmiliki wa shule ya Perfect Vision na Mwanasiasa mahiri tutakukumbuka daima.
SAME MASHARIKI tumepata jembe 2025-2035.
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
Kuna lugha za mpito , za mitaani na vijiweni ambazo mtu msomi[aliye elimika] ni aibu na fedheha kusikika akitumia, moja wapo ni:-
Ubaya Ubwela.
Maokoto.
Anguka Nayo
Matikiti kudondokea.
We huogopi?
Gen Z.
Imepenya Iyo.
Ina -huu?
Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake.
Kwa upande...
Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa...
Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya:
1. Shambulio la Tundu Lissu
2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda.
Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo...
Nimefuatilia sana mdahalo wa wagombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS). Kati ya wagombea wa kiti hicho ninachukua nafasi hii kumpongeza Wakili msomi Mwabukusi kutokana na maswali aliyoulizwa kwa kujibu maswali yote kwa ufasaha. Naona upepo umebadilika licha ya kupigwa vita Wakili...
Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k.
Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha machapisho yako pamoja na tafiti ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya hapa duniani (publications &...
Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age.
Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.
Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.