msomi

  1. R

    Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

    Habar wakuu !!! heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa...
  2. R

    Mwakyembe na ripoti ya Law shool: Mwakyembe ni msomi wa hovyo kuwahi kutokea

    Ukisoma excerpts nilizoziona unaona kuwa huyu Mwakyembe ni mtu hovyo kuwahi kutokea. Hovyo kabisa! Mwenye PhD thesis yalke atuwekee hapa tuone alisomea/research yake ilikuwa how much deep learning was in his topic of choice
  3. Makonde plateu

    Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

    MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES: Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
  4. Mia saba

    Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
  5. Equation x

    Mtu msomi ni nani?

    Msomi ni nani? Katika kusoma makala mbalimbali pamoja na kufanya tafiti binafsi, kumeonekana kuna changamoto katika kusema fulani ni msomi. Wapo wanaoamini, katika kufikia hatua fulani ya elimu anakuwa yuko sahihi kuitwa msomi. Wengine wanaamini msomi, ni yule anayetumia rasilimali vitu...
  6. sky soldier

    Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  7. ThisisDenis

    Sifa ya kujiita Msomi Mwanachuo ni ipi?

    Kusoma na kumalizana kupata cheti chako kizuri sio njia pekee ambayo itakuweka salama na kukuweka kwenye kundi la wasomi, haijalishi ni Certificate, Diploma, degree au Master. Hii ni kutokana na wasomi wengi kutoonesha nini walicho nacho na kuishia kujidai na cheji. Vyeti vilivyo vingi vya...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

    Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema: . “Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini...
  9. Suley2019

    Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  10. F

    Aibu sana tajiri msomi kama Mengi kushindwa kuandaa succession plan ya utajiri wake. Bakhressa hana elimu ila ameweza

    Habari wadau. Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi. Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo. Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata...
  11. Crosby

    SoC02 Chozi la Msomi

    Msomi ni mtu aliyemaliza elimu ya chuo kikuu kuanzia walau degree moja. Tunapozungumzia msomi ni mtu ambaye ameandaliwa ili aweze kutatua changamoto za jamii kutumia elimu yake aliyo ipata shuleni. Kila mwaka idadi ya wasomi nchini inazidi kuongezeka, hii upelekea kuwa na wasomi wengi nchini...
  12. Mohamed Said

    Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

    BURIANI HASSAN CHIKUSA MSOMI MKIMYA Naamini si wengi wanamfahamu Hassan Chikusa na yote yaliyomsibu katika maisha yake. Mimi nilimjua Hassan Chikusa kwa kuwa alikua jirani yangu akiishi kwa ndugu yake Masaki jirani na nyumba niliyokuwa naishi mimi na familia yangu. Wakati ule alikuwa kijana...
  13. M

    OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
  14. Tomaa Mireni

    Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

    Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe? Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara? https://news.un.org/sw/story/2020/01/1079881
  15. C

    Bado mnamwita Wakili msomi?

    Naomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
  16. frangwi12

    Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  17. GENTAMYCINE

    Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  18. K

    Kwanini Yanga Walifika CAS Dhidi Ya Morrison..? Leo Wakili MSOMI Katoa Majibu...!

    Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia. Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..! Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.! Zipo nyakati duniani ...jambo moja...
  19. Igande

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani. Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
  20. S

    Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

    Hivi wewe ambaye unajiita umesoma halafu unalalamika kuwa huna kazi, unafahamu kwamba unajidhalilisha? Acha wakose kazi vijana wa Ulaya na Marekani huko lkn siyo hapa Tanzania. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele kwann usijiajiri kwenye kilimo? Ardhi ya bure ipo tele katika mikoa...
Back
Top Bottom