msomi

  1. Tusker Bariiiidi

    TANZIA Wakili Msomi Dkt. Kibuta Ongwamuhana afariki Dunia

    Wakili Msomi Kibuta Ongwamuhana amefariki akiwa anapatiwa Matibabu Nchini Afrika ya Kusini. Katika Wanasheria walioisumbua Serikali ya Tanzania kipindi cha miaka mitano iliyopita ni Mzee Kibuta ..huyu Mzee alikuwa mtata sana PROFILE YA WAKILI MSOMI KIBUTA DR. KIBUTA Chairman Dr. Kibuta...
  2. BAK

    Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

    Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita. MATATA: Nikumbushe Majina yako. SHAHIDI: Naitwa Inspector Mahita Omary Mahita. MATATA: nitakuwa Sahihi nikisema wewe ni Mtoto wa IGP mstaafu Omary Mahita. SHAHIDI: Upo sahihi MATATA: Wakati Baba yako akiwa IGP wewe...
  3. BAK

    Ahsante sana Wakili Msomi Peter Kibatala

    "Ahsante sana Askofu! Wamewaruhusu [watu] hatimaye [kuingia Mahakamani] baada ya jitihada kubwa. Tunaanza sasa kuendelea na Kesi, Tuombeeni - Peter Kibatala" Ujumbe huo ni wa Wakili Msomi Peter Kibatala (pichani) ukionyesha kuwa zuio la Polisi na Mahakama kutaka watu wasiingie Mahakamani na...
  4. Erythrocyte

    Je unamfahamu Jeremiah Mtobesya wakili msomi aliyewahenyesha mawakili wa serikali kwenye kesi ya Mbowe ?

    Huyu hapa Moto wake usipime !
  5. Kamanda Asiyechoka

    Yuko wapi Dkt. Harrison Mwakyembe Msomi aliyekuwa akiwazodoa wanaCCM ambao hawajaenda shule?

    Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa. Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga. Where is he?
  6. Erythrocyte

    Wakili Msomi Peter Kibatala amhakikishia kumpigania Mwanachadema aliyekamatwa Kisutu, aahidi kumtoa selo

    Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa, Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu. Msikilize...
  7. Numero Uno

    Wakili msomi Bernard Morrison

    Tarehe 29 yanga mjiandae kwa kichapo kingine kutoka kwa Morrison Baada ya kesi mtawalalamikia TFF?
  8. Mwanamayu

    Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  9. L

    China ni mwenzi wa dhati wa Afrika, asema msomi wa Kenya Dkt. Wafula

    Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa. Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii. katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China...
  10. E

    Tuacheni dharau, kila mmoja ni mtaalam kwenye profession aliyosomea

    Tuacheni dharau kila mmoja ni mtaalam kwenye professional aliyosomea. Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili mambo yanayohusu sheria. Lazima mtu wa sheria ataonekana bora zaidi kuliko wa biology hata kama wa biology ni prof. Hivyo...
  11. Komeo Lachuma

    Nataka kuamini Dkt. Mataragio si mwanasiasa, ni Msomi anayejikita katika utaalamu wa alichosomea

    Alianza na Kikwete, akaja tenguliwa kipindi fulani. Dkt. Magufuli akamrudisha. Jana akatenguliwa leo Mh. Samia kamrudisha. Najiuliza huyu Bwana ni nani? Utendaji wake ukoje? Napata mawazo huyu anaweza kuwa ni mmoja ya wasomi wachache ambao wanafanya kazi kitaalamu yaani yeye ni mfuasi wa...
  12. Komeo Lachuma

    Msomi kwa ngazi ya PhD, tunza heshima yako usikimbilie Siasa

    Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda. Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa mifupa anaenda kuwa waziri wa michezo au waziri wa Utalii. Na kuna mtalaamu aliyesomea Hotel...
  13. M

    Msomi ni nani

    Jamani mimi na tatizo na maana ya mtu msomi, mtu kuitwa msomi anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu? maana kijijini kwetu ukijua kusoma na kuandika tu wewe tayari msomi. =====
  14. YEHODAYA

    Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama...
  15. Sky Eclat

    TANZIA Wakili msomi Judith Mushumbusi hatunae tena

    R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu. NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya...
  16. Kididimo

    Mbunge anasema hakujawahi kuwa na chanjo ya Malaria; Waziri msomi yuko kimya. Ukweli tujitizame, kuna mahali hapako sawa

    Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    TANZIA Wakili Msomi N.I.N Munuo afariki dunia hospitali ya KCMC

    TLS imeondokewa na mwanachama wake wakili mwandamizi
  18. Elisha Sarikiel

    Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  19. Jasusi Mbobezi

    Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

    1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa 5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
  20. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Wakili msomi Mashaka Ngole akabidhiwa fomu ya uteuzi jimbo la Ubungo kupitia CUF Chama cha Wananchi

    HABARI: Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia CUF, wakili mashaka Ngole amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ubungo.
Back
Top Bottom