Msomi ni nani?
Katika kusoma makala mbalimbali pamoja na kufanya tafiti binafsi, kumeonekana kuna changamoto katika kusema fulani ni msomi.
Wapo wanaoamini, katika kufikia hatua fulani ya elimu anakuwa yuko sahihi kuitwa msomi.
Wengine wanaamini msomi, ni yule anayetumia rasilimali vitu...