msongo wa mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  2. Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

    Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri. Sina kazi, Sina pesa, Sina anipendaye. Sasa Duniani nafanya nini? Leo tarehe 10/02/2025 Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki. Napambana naona nimefika tamati. Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu. Nawapenda wote wana Jamii Forums ❀️❀️❀️ Wenu...
  3. Msongo wa mawazo kwa wanawake upo hata kwa walimu

    Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao. Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi) kwa maneno makali tena wote walikuwa kama wanne ivi akijibu huku anaulizwa huku au anaulizwa maswali...
  4. Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

    Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
  5. Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu Uzi tayari Pia soma...
  6. Hatua za kukabiliana na msongo wa mawazo unaotokana na migogoro ya kifamilia

    Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana na kikwazo hicho unaweza kuwa uwezo wa kifedha, kiafya, kielimu,nguvu ya mwili katika kukabiliana...
  7. Njia za kukabiliana na msongo wa mawazo unaotokana na matatizo/migogoro ya kifamilia

    Sehemu hii inaweza kufanyiwa kazi na mwanaume Rijali kwa kuzingatia yafuatayo Pata utulivu wa akili kwa kutumia njia za kuvuta pumzi (Deep breath),kupiga miayo mfululizo,kutoa hewa tumboni kuja nje (belly breathing) Ufumbuzi wa matatizo/migogoro upo kama ifuatavyo πŸ‘‡πŸΏ 1.MIGOGORO BAINA YA...
  8. Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

    Salaaam ndugu zangu wa JF. Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo. Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
  9. Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

    Habari wana Jf kwa ujumla. Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max. Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha. First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi...
  10. Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

    Wakuu! Naomba nielezee na hii walau kwa uchache. Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti tofauti. Nimekuja kugundua/kubaini kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wenye msongo mkali wa...
  11. Nyie haya mambo ya kubeti mtu asije kuthubutu kama anajua hela yake ni ya mawazo

    Nyie haya mambo yakubeti mtu asije kusubutu kama anajua hela yake ni ya mawazo Jana ilikua nusu nife kwa presha kwasababu ya betting. Sikuhiyo nimekaa na mtu wangu waheshima kabisa ninayemuheshimu, katika story za hapa napale nikamwambia aisee madirisha yangu yapo kwa fundi alafu sina hela hapa...
  12. Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  13. Wimbi la vijana kuwa changamoto ya afya ya akili

    Habari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
  14. Watanzania wengi wana msongo wa mawazo (stress) kwasababu hawafanyi Utalii wa ndani

    πŸ“–Mhadhara (56)✍️ Unaishi miaka 70 mpaka unakufa hujawahi hata kuzunguka maeneo yaliyopo ndani ya nchi yako (Tanzania) ambayo yataifurahisha akili yako. Si kwamba huna hela, bali unaendekeza sana mambo ya hovyo kuliko mambo mengine mazuri. Tanzania ni nchi ambayo imejaaliwa kuwa na vivutio vingi...
  15. Afya ya Akili: Chanzo, viashiria na jinsi ya kukabilina nayo

    Kwa asilimia kubwa ya utamaduni wetu hapa Tanzania mtu anapopitia hali ngumu kiakili huwa ana dhaniwa katika nadharia za kuwa anavuta bangi, ameishiwa (amefulia), anajifanya kujitenga tenga, amelogwa, sio shupavu, etc Lakini mental disorder is real!!!, na sisi Tanzania tupo nyuma sana katika...
  16. W

    Jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo

    1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na mafanikio, na kusaidia kuongeza motisha. Ukimaliza jambo dogo, elekeza macho yako kwenye jambo dogo...
  17. M

    Ajali nyingi husababishwa na msongo wa mawazo

    Salaam Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili, anaopata mtu kutokana na changamoto za maisha. Mtu akidrive, huku ana msongo ni rahisi sana kusababisha ajali coz akili inakua haipo active barabarani. Tujiepushe kudrive, tukiwa na msongo mkali coz madhara yake ni mabaya kwa maisha yetu na wenzetu.
  18. Hili neno "Umehonga" linawapa msongo wa mawazo wanaume. Tafadhali tusilitumie kwa wanaume wetu

    Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo basi neno litakalotamkwa na mke wake au mpenzi wake ni kuwa amehonga pesa wanawake na kumnyima mkeo au...
  19. Msongo wa mawazo kwa watumishi waliopo mbali na wenzi kwa sababu ya Utumishi wa Umma

    Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti. Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya watumishi ambao wapo mikoa tofauti na wenzi wao, na akafafanua imechangia kuzorota Kwa usitawi wa jamii...
  20. J

    Wanaume wengi wanateseka na mbaya zaidi hawazungumzi, jambo linalowamaliza taratibu

    Misongo ya mawazo na masononeko wanayopitia wanaume ni mingi mno na kwa bahati mbaya wengi wetu tunaweka moyoni kitu ambacho yanatumaliza. Hofu ya kuyatamka yanayotukwaza yamepeleka wengi sana kaburini na kuna waliopatwa na maradhi ya kudumu kutokana na changamoto za kisaikolojia. Makosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…