msongo wa mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  2. jastertz

    Kwanini vizazi vya kati ya mwaka 1980 na 2000 wanajulikana kama Kizazi cha Msongo wa Mawazo?

    Ni mambo gani ambayo yamechangia hilo? Kwanza kabisa, hebu tuanze kwa kufafanua zaidi tatizo kubwa katika msongo wa mawazo. Hii inajidhihirisha kama dalili fulani, ambazo tunaweza kuangazia kama unapokuwa na msongo wa mawazo sehemu kubwa ya siku, kupungua kwa shauku katika shughuli ambazo hapo...
  3. Sildenafil Citrate

    Msongo wa mawazo huongeza nafasi ya kupatwa na kifo cha Ghafla kwa 43%

    Mtu mwenye Msongo wa Mawazo huwa na 43% zaidi ya kupatwa na Kifo cha Ghafla kuliko mtu asiye na tatizo hili Pia, huongeza nafasi ya kuugua Magonjwa sugu, kujiingiza kwenye tabia hatarishi kama unywaji wa Pombe uliopindukia, uvutaji wa Sigara na Matumizi ya Dawa za kulevya. Wanawake wajawazito...
  4. D

    Hawa ndio Wanaume watatu wenye msongo wa mawazo Tanzania kwa sasa

    Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
  5. BARD AI

    Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) na jinsi ya kukabiliana nao

    Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  6. JanguKamaJangu

    Utafiti: Kusikiliza muziki kunapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo. Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
  7. C

    Wakuu depression inanimaliza

    Kwema ndugu zangu, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
  8. Gwappo Mwakatobe

    Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  9. aliyetegwa

    Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

    Habari wakuu, Iko hivi alikuwa ni kijana nadhifu, mchangamfu na kikubwa mwenye uwezo mkubwa darasani. Baada ya harakati za masomo alimaliza shahada yake ya kwanza 2014. Kwa kipindi cha karibia miaka nane hakupata kazi ila alichakarika haswa kwa kufungua genge na kuhudumia familia kwa kazi hiyo...
  10. Innocent Ngaoh

    SoC02 Sababu saba (07) za kwanini unapaswa kukabiliana na msongo wa mawazo kwenye maisha yako

    Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku. Inawezekana una...
  11. MK254

    Msongo wa mawazo, Mwanajeshi Mrusi auwa maafisa wa FSB kule Kherson, kisa ulevi

    Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake...... A Russian soldier shot dead two FSB officers in occupied Kherson after he was caught swigging alcohol while in...
  12. T

    SoC02 Teknolojia msongo wa mawazo

    Kwa Dunia ya sasa, vijana ndio binadamu walio kwenye hatari kubwa ya kupotea kuliko wazee. Kutokana na ukuaji wa teknolojia, vijana wengi wamejikita kwenye kuigiza maisha mtandaoni huku hali halisi ikionesha maisha magumu na wengi wao kutojua suluhisho ni nini. Mfano, mitandao mingi ya kijamii...
  13. Etwege

    Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
  14. BigTall

    Utafiti: Wanawake wakikumbatiwa wanapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa kumkumbatia mtu kunaweza kuchangia kupunguza msogo wa mawazo kwa Wanawake. Wanawake 76 waliofanyiwa utafiti wa kisayansi na Kituo cha PLOS One wameonesha kuwa wanapowakumbatia wenza wao au watu wanaowapenda pindi wanapokuwa na msongo wa mawazo...
  15. Replica

    Afande Sele: Spika aombe Mirembe wapeleke mabasi yao Bungeni wachukue vichaa wao, waliopo Milembe wana msongo wa mawazo

    Mwanamuziki mkongwe wa bongo wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele amemuomba spika wa Bunge, Tulia Ackson awaombe hospitali ya Mirembe iliyopo mjini Dodoma wapeleke usafiri bungeni na kuchukua watu wao akidai waliopo Mirembe ni wazima ila wana msongo wa mawazo wa maisha magumu...
  16. JanguKamaJangu

    Mshauri: Msongo wa mawazo husababisha mtu kunenepa

    Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond amezungumzia upande wa pili wa msongo wa mawazo kitaalamu kwa kusema huwa inasaidia kuleta mabadiliko katika maisha ya mtu binafsi na inaweza kumfanya anenepa. Mosses amesema wengine wakipata msongo wa mawazo hunenepa na kupata nuru kwa sababu hupenda...
  17. I

    Nadhani naweza nkapata msongo wa mawazo utakaonipeleka pabaya

    Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu. Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema...
  18. nyboma

    Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

    Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi. Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
  19. beth

    UNICEF: Mtu 1 kati ya 5 duniani (umri wa miaka 15 - 24) hupata Msongo wa Mawazo

    Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka. Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
  20. E

    SoC01 Madhara yanayotokana na msongo wa mawazo (sonona). Je, tunajali?

    Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio ya watu kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa uhai. Vilevile kumekua na ongezeko la watu kuishi mtindo wa maisha usiofaa ambao huweza kuleta madhara kwenye maisha yao na jamii inayowazunguka, mfano tabia ya ukahaba, matumizi ya pombe...
Back
Top Bottom