msongo wa mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

    Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi. Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya...
  2. Replica

    Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

    Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo...
  3. Analogia Malenga

    Kilimanjaro: Mwanafunzi Ajinyonga kwa msongo wa Mawazo

    Mwananfunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Cyril Chami, Yasinta Mathew (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa kuwa na msongo wa mawazo Kamanda Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 16, 2021 maeneo ya Mweka kata ya Kibosho Mashariki ambapo mwanafunzi huyo...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Zijue athari 8 zisababishwazo na msongo wa mawazo

    ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO Msongo wa mawazo unajulikana kama sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo unaweza kusababisha athari mbaya kwako.zifuatazo ni athari mbaya za msongo wa mawazo.(8). 1. Uharibu...
  6. F

    SoC01 Natamani ningejua haya mapema ili kuepuka msongo katika mahusiano

    Utangulizi Katika karne ya sasa, watu wengi wamekumbwa na misongo ya mawazo kutokana na hali tofauti tofauti wanazokutana nazo katika mahusiano. Baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na kushindwa kudhibiti kiasi cha msongo. Wengine wapepoteza ndoto zao, familiya, kazi, masomo na hata...
  7. Miss Zomboko

    Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

    Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida. Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
  8. Makirita Amani

    Fanya zoezi hili la kupumua litakalokuondoa kwenye msongo wa aina yoyote ile

    Rafiki yangu mpendwa, Miaka elfu 5 iliyopita, binadamu aliyekuwa porini akiwinda au kukusanya chakula, aliposikia kishindo alianza kukimbia mara moja. Hakusubiri aone kishindo hicho ni cha nini, hatua ya kwanza ilikuwa kukimbia ili kuokoa uhai. Wakati mwingine kishindo kilikuwa ni cha hatari...
  9. Unyayo

    Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

    Thread closed!
  10. Kifaru86

    Unawezaje kuepuka stress na msongo wa mawazo katika mahusiano yako?

    Mahusiano ni kama sanaa kuna wakati mahusiano yanaweza kukupa stress na msongo wa mawazo kiasi kwamba ukajutia kwanini umeingia katika mahusiano huyo mwanamke au mwanaume maana kuna time unaona kabisa what you Give is diffrent from what you receive hali hukupelekea kuwa na stress na mambo...
  11. Miss Zomboko

    Msongo wa Mawazo Baada ya Kujifungua

    Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula na kulala hasa wiki ya tano za kwanza baada ya kujifungua. Wakati mwingine kuwa na huzuni, kushindwa...
  12. Mboka man

    Kuepuka maumivu na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na mwenza fanya yafuatayo

    1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena. 2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia. 2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we...
  13. Youngblood

    Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

    Wakuu habari zenu, leo kidogo tuzungumzie kuhusu hili la mitandao ya kijamii. Siku hizi maisha yamegeuka sana, ni ngumu sana kudeal na stress na msongo wa mawazo hasa pale unapokuwa unapitia kipindi kigumu katika maisha. ~Umeachana na mpenzi wako uliyempenda sana, kesho unamuona facebook...
Back
Top Bottom