msukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  2. Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
  3. Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

    Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo. Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe? Mbona...
  4. Kama una lipa ada milioni moja na nusu hadi 3 Kwa mwaka, badala ya Dola elfu thelathini Basi jua unafanyiwa mchezo

    Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa? Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
  5. Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

    Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
  6. A

    Mchumba "MKE" - Mchaga, Msukuma au Mhehe / Mbena

    Habarini ndugu zangu 🙏 Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51. MHUSIKA AWE NA SIFA KUU KATI YA HIZI ZIFUATAZO: 1. Mchaga, Msukuma, Mhehe au Mbena with a good heart like Rebecca - without pretending or faking behavior 2. Umri : Miaka kati ya 25 hadi 35. 3. NOT HAVING ANY CHILD. 4. Government or...
  7. Wajinga wa akili hawajui kuwa Shigongo ameongea utani wa msukuma na mngoni msibani kwa Grace Mapunda

    Wajinga kaeni kwa kutulia kizazi hiki cha corona na uvuvuzela hamjui kitu. Msibani watani tunaongea tunachotaka na kwa Raha zetu. Kaeni kimya Pang Fung Mi
  8. Elimu iheshimiwe kwa manufaa yake

    Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote. Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma. Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida. Najiuliza wakienda Hospitali hao...
  9. Nilijua nimeona vyote mpaka pale nilipoona Msukuma amechora tattoo ya ugali

    Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k Mchana mwema ndugu zanguni.
  10. D

    Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

    Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
  11. Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki...
  12. B

    Mbunge Msukuma Kasheku alilia wizi wa fedha za Umma

    Kasheku amelilalamikia Bunge kwa nini haliwezi kutoa maamuzi ya kufanyiwa kazi. Anapendekeza bora hoja bungeni zisipelekwe kuliko kupoteza muda. Ktk clip inayosambazwa anatoa mifano kuwa kuna Mwizi ktk halimashari alipeleka jina lake kwa Waziri Bashingwa na hakuona mwitikio na hatua...
  13. M

    Hivi watu wanapataje Uprofesa? Ndiyo maana Musukuma anawadharau sana

    Hivi Profesa mzima unasema eti kati ya watu 100 ni wat 5 tu wanaoajiriwa na serikali. Haya yalipaswa kuongewa kweli na profesa mwenye kujua kufanya utafiti japo tafiti zetu ni ungo? Sasa kama unaweza kudeclare hivyo kwanini mnawakamata machanguduo wakati mnadeclare kuwa serikali imeelemewa...
  14. J

    Msukuma: Nyie wasomi huko shuleni mnafundishwa kuliibia taifa? Kila mahali nchi hii wamejaa wezi wanaovaa suti na tai!

    Mbunge wa Geita vijijini Dr Musukuma amesema nchi hii imejaa Wezi kwenye Ofisi zote yaani ni Wizi kila kona na hakuna hatua zinachukuliwa na Mawaziri hawako serious kabisa. Msukuma amesema ni aibu kuwa na taifa la Wezi ambalo kila mwaka CAG anatuletea Taarifa za Wezi tu. Msukuma ametaka Bunge...
  15. Natafuta mke awe Msukuma au Mhaya

    Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha. Mwanamke...
  16. Kuanzia leo nitawaita Maaskofu wasomi au Askofu msomi, wao wanaichezea sana dokta sikuizi tuna dokta Msukuma

    Wasomi kweli kweli seminary zimetoa watu makini sina shaka hizi shule zilikua zinatoa division one form four na form six kama mvua discipline ya hatari disciples, mkikutana nao kwenye football wanawagonga darasani wanawacharaza, uthibitisho wa usomi wao. 1.Vyombo vya habari vimebanwa haswa...
  17. S

    Msukuma siyo wa kumuamini, ni muovu wa fikra na muovu katika maisha yake

    Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje. Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk...
  18. B

    Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  19. DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

    Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾 Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI: Hi Jina langu ni Amna Ghanem. Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa...
  20. Walimu Geita: Kichinjio cha Msukuma tunacho sisi

    Walimu wengi vijana ndani ya jimbo la uchaguzi la mbunge Msukuma wameapa kufa naye kwenye uchaguzi mkuu ujao na kamwe watamwonyesha wao ni wasomi ndiyo maana wanasimamia uchaguzi umhusuyo. "....yeye si bingwa wa kututukana sisi wenye degree na kututweza kwamba hatuna lolote basi asubiri usio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…