msukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    #COVID19 Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma atengeneza sehemu maalumu ya kupiga nyungu kwa wapiga kura wake

    Mapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake. Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!
  2. F

    Mbunge Joseph Kasheku Msukuma ataka Magufuli apewe Mihula minne ya Miaka 20 ili kukamilisha miradi

    Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru. Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu. Hata hivyo akiichagiza ushauri huo...
  3. Kididimo

    Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

    Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi. Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA. Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao. Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha...
  4. Pilitoni

    Rais nakuomba umteue Joseph Kasheku Msukuma awe Waziri

    Baada ya kuchoka na blaa blaa nyingi za hawa watu wanaojiita wasomi (wenye degrees, masters,PhD na maprofessa) naleta ombi kwako Mh Rais JPM umfikirie bwana Joseph Kasheku Msukuma kwenye nafasi ya uwaziri licha ya Elimu yake ya darasa la saba. Kama mtu aliyekwenda darasani kabisa anashindwa...
  5. Return Of Undertaker

    Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

    Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka. Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija...
  6. Infantry Soldier

    Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu wa Tanzania; Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti (Mfano: Msukuma Vs Mzaramo) kisha ukaumia nafsi yako...
  7. J

    Nyumba ya mbunge Msukuma yabomolewa baada ya kujifanya mbabe kwa kukataa fidia ya sh milioni 70

    Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70. Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia...
  8. N

    video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

    Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina...
Back
Top Bottom