Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta.
Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
bara
bei
breaking news
bunge
dizeli
imepanda
january
kujadili
kuondoa
kuongoza
kupanda
mafuta
mbunge
msukuma
news
petrol
serikali
shughuli
tanzania
tanzania bara
tozo
tunaibiwa
tunataka
upigaji
wazi
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.
Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini.
Elimu zao hazisaidii nchi...
Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa.
Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
#NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma
Chanzo: @supabreakfast ya @earadiofm
"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.
Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya...
Wachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo huko.
Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima...
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli.
Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji masuala ya ajira mnatukebehi kwa maneno yaliyojaa kejeli na dharau kubwa
Nakumbuka wakati humphrey...
Kwanza niwashukuru kwamchango wenu mkubwa katika awamu iliyopita katika kutokomeza kabisa Corona, Ilifika mahali Corona ilikosa kiki Tanzania, mpaka wazungu wakaanza kuja kushangaa ni mbinu gani ilitumika.
Tangu hiki kinachoitwa wimbi la tatu kuanza kuhubiriwa, naona mmekua kimya sana...
Mbunge Musukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote.
Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa...
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo...
Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema Maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni.
Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona zilizofanywa na maprofesa wakati wa hayati Magufuli wakitumia mapapai mbuzi, sungura, mafenesi na oil...
Hari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, :D:D:D:D hapo atajifanya anaakili sana mpaka...
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya...
Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa Muhongo na anao uwezo wa kuyatetea kwa hoja kila anaposimama na kuongea bungeni.
Naona kama...
Ni kweli nakubali kuwa kusoma ( kuelimika ) sana siyo Kutusua ( Kufanikiwa ) Kimaisha kwani kama ingekuwa hivyo basi Mimi Generalist nisingekuwa na Maisha haya Duni ( ya Dhiki ) niliyonayo sasa kwa Elimu yangu hii ya haka ' tudigrii ' kangu Kamoja tu ninakokamiliki huu mwaka wa 12 sasa.
Lakini...
Nimesikia vizuri mchango wa Prof. Muhongo bungeni na kutafakari kwa makini. Nilichosikia ni takwimu na maelezo yaliyoshiba ukweli na uhalisia wa hali ya sasa ya dunia. Amechambua namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza kuinua uchumi wetu kama tutazitumia vizuri na kwa wakati. Muhongo ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.