Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee.
Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Marekani na Ulaya
Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi
Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi...
Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea...
Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania lilikuwa likisafiri kwa magari ya kivita sambamba na jeshi la Msumbiji. Magari matatu ya jeshi la...
Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011.
Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi.
Sekta yetu inakasoro nyingi sana zinazokwamisha maendeleo ya miradi yetu.
Siasa iliyokua ikitumika ndio imechelewesha sisi kuanza mradi wa LNG...
Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe.
Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini katika Mji wa Balama na uamuzi wa kuachiwa huru ulitokanana Jaji kuamua kuwa hakuna kesi yenye nguvu ya...
Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017.
Nyusi amesema waliosamehewa ni wale waliojisalimisha kwa hiari yao baada ya vikosi vya Majeshi ya Msumbiji, Rwanda na...
Wakuu kwa wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?
Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza! Kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida! Juzi kwenda na kiti chake! Haamini kiti cha upako!?
Ina maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?
Anaogopa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika Ukumbi wa Joachim Chisano, Maputo nchini Msumbiji, Waziri...
Amani
Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe.
“Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
Kiprotocal hii...
Habari zenu marafiki na maadui zangu,
Cheo cha Urais Tanzania siku zote kimekuwa ni cheo cha 'Rais Mtendaji' na siyo 'Ceremonial President' (msaada wa tafsiri ya Kiswahili).
Hata Marais kama Kikwete na Mwinyi ambao kidogo walichukua mlengo wa kuacha mambo yajiendeshe tofauti na Marais wengine...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO katika Ukumbi wa FRELIMO - Eneo la Matola nchini Msumbiji leo tarehe 23 Septemba, 2022.
Leo hii nimesoma habari kwamba Tanzania na Msumbiji tumetia sahhi makubaliano ya ulinzi na usalama. Kwanza sikuamini kama ni Msumbiji kweli, au nchi nyingine. Yaani Msumbji, ile ninayoijua mimi, ambayo maelfu ya wanajeshi wa Tanzania walikufa huko katika kuisaidia kupambana na majeshi ya uasi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji leo tarehe 21 Septemba, 2022.
Rais Samia ametaka ushirikiano wa ulinzi baina ya nchi hizi mbili hasa ule wa mipaka ulio anzishwa tangu miaka ya 1980 uendelezwe hasa kwenye kipindi...
Mkuu wa diplomasia wa EU Josep Borrell amethibitisha uungaji mkono huo ili kuimarisha ulinzi na kukabiliana na ugaidi baada ya mashambulizi kadhaa ya umwagaji damu yanayohusishwa na wanajihadi kwenye mipaka ya nchi hiyo na Tanzania.
Amesema EU iliidhinisha nyongeza ya Ths. Bilioni 35.5 za...
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Cristovao Chume kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya...
Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015.
Maria pamoja na maafisa wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.