msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mung Chris

    Jeshi la Rwanda kwenda kukomboa miji iliyokuwa chini ya waasi huko msumbiji je ni kutuonyesha ubabe au?

    Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko kupambana na waasi bila mafanikio ya kurejesha miji hiyo. swali ni Je, Rwanda inatupa ujumbe gani sisi...
  2. Analogia Malenga

    Msumbiji: Kambi ya Wapiganaji yasambaratishwa

    Kambi ya wapiganaji wa ASWJ ya Chitama Jimbo la Cabo Delgado imesambaratishwa katika operasheni ya SADC Msumbiji (SAMIM) Magaidi 17 wameuawa. Askari 1 aliokuwa katika operasheni hiyo amefariki na 3 wamejeruhiwa Pia katika Operasheni ya Septemba 26, SAMIM wameiangusha kambi ya Messalo ambapo...
  3. MK254

    Kagame kuitembelea Msumbiji baada ya kuondoa kero la ugaidi

    Magaidi ya Msumbiji yalikua yameota pembe mpaka kuanza kupiga majirani wakiwemo Tanzania ambapo walikua wanaingia na kuchinja wanavijiji, ilimbidi Kagame atume makomando wake ambao walifyeka huo uchafu na kuweka sawa...... Majitu ya SADC full misifa lakini kwenye medani zero, kainchi kadogo...
  4. M

    Revocat Karemangingo aliyekuwa luteni wa Jeshi Rwanda apigwa risasi na kuuawa Maputo Msumbiji

    Revocat Karemangingo luteni wa Jeshi la Rwanda aliyepinduliwa 1994 na majeshi ya Kagame aliuawa juzi kwa kuvamiwa kwenye gari lake akiendesha kurudi nyumbani kwake kwa kupigwa risasi 9. Alikuwa uhamishoni kama mkimbizi Maputo msumbiji.. Alikuwa Mfanyabiashara na muweka hazina katika chama cha...
  5. K

    Kuna uhusiano gani kati ya uwepo wa jeshi la Rwanda Msumbiji na ziara za Mabeyo Rwanda

    Najaribu kuunga dots kuwa huenda baada ya Kagame kupeleka wajeda wake kule Msumbiji ndio chanzo cha ziara ya siku kadhaa ya bwana Mabeyo pale Kigali Mods tafadhali msiufute huu uzi maana hauna maudhui yoyote mabaya
  6. SYLLOGIST!

    Rais Filipe Nyusi Atangaza ushindi Msumbiji Cabo Delgado. Raia watanzania walihusika?

    Mozambique President Filipe Nyusi on Tuesday announced that the country's armed forces, with the help of Rwanda and the Southern African Development Community (SADC) forces, have reclaimed nearly all areas that were seized by militants in Cabo Delgado province. President Nyusi said some locals...
  7. Mohamed Said

    Karanja: Jina la Meli Maarufu kwa Mabaharia wa Dar es Salaam miaka ya 1970

    Leo asubuhi nimepata picha ya meli iliyokuwa ikijulikana kama ''Karanja,'' Meli hii ina historia ya pekee kwa vijana wengi wa Dar es Salaam ambao walikuwa wanawania kwenda Ugiriki kutafuta kazi za Ubaharia. Hii meli Ally Sykes aliipanda mwaka wa 1952 akiwa na miaka 26 yeye mkewe kwenda...
  8. SN.BARRY

    SADC imetia aibu Msumbiji

    Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi. Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni. Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka. Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa...
  9. S

    Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

    Tanzania ni sehemu ya kikosi kilichotumwa chini ya mwamvuli wa SADC kupambana na ugaidi katika mkoa wa kaskazini mwa Msumbiji wa Cabo Delgado. Awali serikali kupitia waziri wa mambo ya nje Liberata Mulamula alisema kwamba Tanzania haitatuma wanajeshi Msumbiji na badala yake inasisitiza juu ya...
  11. Tony254

    Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

    Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo...
  12. Mr Putin

    Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

    Magaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
  13. Mzalendo_Mwandamizi

    Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

  14. Genecandy

    Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

    Wakubwa salaam Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn...
  15. MK254

    Baada ya Kagame kupeleka wanajeshi kuokoa Msumbiji, sasa apokea wakimbizi kutokea Libya

    Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole.... =================== A new batch of 133 asylum seekers...
  16. MK254

    Rwanda awa mfano wa kuigwa kwa kupeleka wanajeshi 1,000 Msumbiji, huku waoga wakiendelea kusuasua

    Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja binadmu kama mbuzi, huku majirani wa Msumbiji wakiendelea kuingiza mikia katikati ya miguu kwa uwoga...
  17. Analogia Malenga

    Nyembe maarufu chapa ya Alshabab zatia hofu mamlaka za Msumbiji

    Wembe wa chapa ya jina sawa na kundi la wanamgambo wa kiislamu ambalo limekuwa likitekeleza mashambulizi dhidi ya wakazi wa mji wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji, limeshtua mamlaka. Wembe wa chapa ya Alshabab umaarufu wake ulikuwa ukiongezeka mwaka jana. Hivi sasa mamlaka zina hofu kuwa...
  18. Sam Gidori

    SADC wakubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi Msumbiji

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado. Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
  19. Analogia Malenga

    Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...
Back
Top Bottom