msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marekani ipo tayari kuishauri Tanzania kuhusu usalama wa mpaka wake na Msumbiji

    Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji. Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alieleza namna ambavyo Marekani inavyoguswa na tishio la...
  2. Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  3. Watu 10,000 wakimbia makazi yao kisa machafuko Nchini Msumbiji

    Watu 7 wameuawa katika machafuko ambayo inaelezwa yanahusisha Wanamgambo katika eneo la Kaskazini mwa Msumbiji. Umoja wa Mataifa (UN) umesema watu 10,000 wamekimbia. Machafuko hayo yametokea eneo la Cabo Delgado lenye gesi ambako Wanamgambo hao walianzisha uasi tangu mwaka wa 2017 na tangu...
  4. Msumbiji yachaguliwa Mwanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023 Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na Ecuador, Japan, Malta na Uswizi ambapo watachukua nafasi za India, Ireland, Kenya, Mexico na Norway...
  5. Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

    Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia...
  6. Mtu adaiwa kufufuka nchini Msumbiji

    Kijana mmoja kaskazini mwa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi Novemba ametokea kijijini kwao Lindi. Jumuiya inamtaja Eurélia Manuel Benjamim kama mtu aliyefufuka kutoka kwa wafu, lakini anasema alikuwa ameenda tu kufanya kazi katika shamba...
  7. Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania kuisaidia Msumbiji dhidi ya Magaidi

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi. Aliyasema hayo jana alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika, hususan nchini...
  8. Msumbiji: Rais Felipe Nyusi amfukuza kazi Waziri Mkuu, ateua mwingine

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário. Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa...
  9. Msumbiji: Rais Filipe Nyusi awafukuza kazi Mawaziri sita

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewatoa kwenye nafasi zao Mawaziri sita wakiwemo Waziri wa Fedha na Waziri wa Rasilimali za Madini na Nishati. Ni Mabadiliko makubwa ya pili kufanywa katika Baraza la Mawaziri katika miezi ya hivi karibuni Ofisi ya Rais haijatoa ufafanuzi wowote wa Mawaziri hao...
  10. PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  11. Wadukuzi wanadai fidia ili kufungua tovuti za Serikali Msumbiji

    Wadukuzi wamepata tena udhibiti wa tovuti zaidi ya 30 za Msumbiji, saa chache baada ya serikali kusema kuwa imezima shambulio la Jumatatu. Kundi linaloitwa "Yemen Hackers" limedai kuhusika na shambulio hilo la hivi punde. Baadhi ya tovutizilizolengwa ni pamoja na mamlaka ya usimamizi wa majanga...
  12. Rebranding Tanzania! Ikulu Mawasiliano, Je mnajua ziara ya jana ya Rais Samia nchini Msumbiji ilikuwa moja ya Fursa ya kui-brand Tanzania Nje?

    Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya kuitangazia Dunia kuwa ni kwa Jinsi gani wana uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa kumsafirisha Rais wao hadi eneo...
  13. Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 28/01/2022 Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji. Katika ziara hiyo Rais Samia amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Lengo la Ziara hiyo ni kujitambulisha kwa viongozi wenzake wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini...
  14. BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

    Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na...
  15. Kukamatwa kwa Mtanzania Kiongozi wa Waasi nchini Msumbiji: Kwanini hakuripotiwi na Vyombo vyetu?

    Habarini za Asubuhi Watanzania wenzangu, BBC wameripoti kupatikanika kwa kiongozi wa waasi ambaye ni raia wa Tanzania. Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado. Kiongozi huyo...
  16. #COVID19 Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga kwa kuzingatia muongozo wa afya baada ya kupatikana na virusi , ijapokuwa hawakuonesha dalili...
  17. Zitto: Chadema kina mahusiano na chama cha RENAMO 'wauji' cha huko Msumbiji.

    Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf. Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi...
  18. Wazulu wa Imhambane, Kwalikunyu - Msumbiji katika kupigania Uhuru wa Tanganyika

    WAZULU WA IMHAMBANE, MOZAMBIQUE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Kisa hiki nimekitoa hapa hapa barzani nikizungumza na ndugu yangu Abdulkarim. "Abdulkarim, jina hasa ni Saudtz Thomas Plantan. Baba yake ni Thomas Saudtz Plantan na alikuwa Mwalimu Mkuu wa Mchikichini Primary School na...
  19. Nini kilimkuta Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji mpaka kuanza kutembelea mkongojo akiwa Ikulu?

    Wamakonde wa Msumbiji wana visa kidogo! Aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji aliwahi kupatwa na madhila akiwa Ikulu. Akiwa katika siku zake za mwisho za Urais aliwashangaza wananchi wake ghafla alipoanza kutembea na mkongojo huku akichechemea. Ukipata hapa Mitaa ya Maputo wananchi kuna...
  20. Naelekea Msumbiji(Maputo) kikazi next week!

    Guys nimepata safari, next week naelekea Msumbiji katika moja ya utimizaji wa majukumu yangu kikazi. Sasa nasikia kuna machotara hao wa kireno, naweza kuwapata angle gani pale Maputo? Nilihitaji weekend niwe naenda japo kupata blow job na kukandwa mgongo! Next week hiyooo!!!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…