Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi.
Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni.
Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka.
Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa...