Wanabodi, heshima mbele..
Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa ameshayatema yote. Sio asubuhi, sio mchana, sio usiku.
Hali hii imesabisha uzito wake kuongezeka kwa kiasi...
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limemtia hatiani Rose Shirima aliyeonekana kwenye video katika mitandao ya kijamii akibishana na mtaalamu wa maabara kuhusu vipimo, kuwa atakuwa chini ya uangalizi wa muuguzi mkuu wa Wilaya ya Uyui, Tabora kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Rose ambaye ni...
Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber.
Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli
Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa...
Wakuu vipi,
Natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar.
Naomba nielekezwe. Sante.
Salaam,
Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara.
Hii siyo ya kukosa.
Kama una skills hizo, karibu PM.
Habari zenu wana jamvi.
Nahitaji programmer/ mtaalamu mbobefu wa Java EE kwa ajiri ya kunisaidia kwenye moja ya projects ambazo ninazo. Ni short term contract na tutalipana according to makubaliano.
Kwa kifupi nature ya kazi ni ku-customize mfumo ambao upo na unatumika tayari na taasisi...
Huyo ndio mtaalamu ni mtu ambae anaijua physics from scratch (hizo ni elementary concepts kajitolea kufundisha kuhusu how the universe works).
Sio tu kwamba ameisoma
Anafundisha at top university
Ame andika vitabu best sellers
Anashiriki kwenye debate za wasomi wenzake to name a few of his...
Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali.
Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social science.
Hivi unajiuliza what is so special kwenye kuandika five chapters za hizo thesiskwa mtu...
Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda?
Mi si mchezaji wa bao lakini kuna...
Peleni na majukumu.
Natatafuta mtu mwenye ujuzi na programu ya MATLAB, sana sana kwenye Signal processing.
Lengo ikiwa ni kutengeneza project.
Kama unaujuzi huo na unaweza kuniongoza kujenga project kwenye programu husika naomba uni PM, malipo yapo.
Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney.
Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
Habari wataalamu wa kilimo na mifugo.
Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
Kuna huyu bwana mdogo J. Nkumbi nimepata kumfuatilia siku 2 tatu hizi nimefurahishwa sana na maneno yake.
Kwa kweli kiswahili ni lugha nguvu kuliko hata kimombo ila huyu bwana mdogo anakipiga vizuri sana.
Msikilize hapa.
Kwa yeyote anaaeuliza ni wapi atapata AC na vifaa vyake vyote na mafundi wazuri wa kufunga AC awasiliane na sisi. 0685843224
tunatoa warranty ya mwezi mmoja kwa mashine used.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.