mtaalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Kazembe

    Natafuta mtaalamu wa ky unlock modem hii e3372h-607 ya ttcl

    Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port COM7 Found modem : E3372 Model : Huawei AuthVer 4 modem (New) IMEI...
  2. OLS

    Mtaalamu aponda 'Maadili' katika ripoti ya mto Mara

    Mtaalamu Mmoja wa kutoka University of Dar es Salaam anaongea hapa kwenye kongamano la wiki ya Udhibiti na tathmini. Moja kati ya jambo kubwa analizungumza ni maadili. Ambapo kwenye maadili ni kuripoti hali jinsi ilivyo na sio kuandika ripoti kwa kumpaka mafuta aliyekupa hela ya kufanya study...
  3. J

    Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  4. S

    Mtaalamu wa kukata miti pembeni mwa nyumba

    Wana JF habari za muda huu? Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane inbox ni maeneo ya Tabata.
  5. Sky Eclat

    Mkwe wetu wa Kizulu ni mtaalamu bingwa

    Kijana wetu wetu alimaliza shahada yake ya uzamili ya ufundi. Alipata ajira za muda mfupi hapa na pale, aliitwa Rwanda, Botswana na kuna wakati alikaa miezi kama mitatu akisaka ajira. Kuna siku alipata emaile kutoka Afrika ya Kusini. Walimtaka afanye video interview, alifanikiwa hatua ya...
  6. J

    #COVID19 Mwenye mzio wa chanjo (Allergic reaction) amueleze mtaalamu wa Afya kabla ya kuchanjwa Covid-19

    Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma. Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza...
  7. Tunguli ya Rais

    Naomba kulekezwa kwa mtaalamu wa kienyeji

    Habari wakuu, ehee niko apa tena kuomba msaada kwa ajili ya mwili wangu. Nahitaji mganga mchawi kwa ajili ya kunitolea uchawi mwilini, maana nikifanya dawa inafanya mwanzo halafu inafifia, tiba zote nafanyiwa adi kupandisha na nyota, kuaguliwa na kusunzwa kwa dawa, nikitoka hapo niko fresh...
  8. T

    Rais Samia ataleta siasa muafaka.Ni mtaalamu wa siasa ila wengi hawajui

    Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
  9. M

    Mtaalam na mzoefu wa kufuga kuku na kuwahudumia

    Habari watu makini. Nieandaa project au mapango wa kufuga kuku inarange 10m to 15m, kwasasa niko Dar lkn huu mpango naenda kuufanyia Tarime cz ndo naishi huko. Nahitaji Mtu ambae atasimamia huu mradi wangu kama General manager, atakaa kwangu hadi atakapoamua kupanga au la. Mshahara...
  10. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
  11. A

    The Moderna COVID-19 (mRNA-1273) vaccine: what you need to know

    Who should be vaccinated first? As with all COVID-19 vaccines, health workers at high risk of exposure and older people should be prioritized for vaccination. As more vaccine becomes available, additional priority groups should be vaccinated, with attention to people disproportionately affected...
  12. A

    Mtaalamu wa Aluminium na Vioo Mbezi ya Kimara

    Mbezi Aluminium and Glass, Wataalamu na wabobezi wa kutengeneza madirisha ya aluminium aina zote, milango ya Aluminium aina zote, Office partition, Balusters, Kitchen cabinets. Pia tuna ofa zifuatazo; = Madirisha ya chooni = Usafiri mpaka site ni juu yetu = Tuna Generator kwa zile Site ambazo...
  13. Madear

    Mimi ni Aquaculturist, nitumie kwa mradi wowote wa ufugaji samaki

    Habari za wakati huu Wakuu. Kwanza kabisa nianze kwa kutoa pole kwa changamoto mbalimbali za kimaisha mnazozikabili. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, kitaaluma ni mtaalamu wa ufugaji samaki (Aquaculturelist). Ngazi ya elimu Diploma in aquaculture technology. Pamoja na...
  14. mngony

    Kuletewa Balozi mtaalamu wa Ulinzi wa Masuala ya Mitandao ni 'Diplomatic Gesture' ?

    Kwa wale mliofatilia tukio la kukabidhi hati Ikulu Magogoni kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, mtakuwa mlisikia kuwa Balozi mpya wa Italy nchini ni mbobezi wa masuala ya 'Cyber Security' Je hii ni diplomatic gesture? Kwamba viongozi wetu wakubwa wameonekana kulalamika dharani...
  15. Bata Boy Official

    Natafuta mtaalamu wa kutengeneza App na website

    Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja. Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua...
  16. The Consult

    Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)

    Mpango wa Biashara (Business Plan), ni nyenzo muhimu katika mafanikio ya biashara. Mpango wa Biashara humsaidia mjasiriamali ku-shape wazo lake la biashara na kulifanya kuwa fursa (Opportunity). FAIDA ZA KUWA NA MPANGO WA BIASHARA Hutoa taarifa za msingi juu ya biashara; zinazomuwezesha...
Back
Top Bottom