Wanabodi, heshima mbele..
Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa ameshayatema yote. Sio asubuhi, sio mchana, sio usiku.
Hali hii imesabisha uzito wake kuongezeka kwa kiasi...